Monday, December 10, 2012

matatizo ya kutofika kileleni

Mjengengee hali yakukuamini katika penzi lenu
  Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana na hofu kutawala.

Katika hali ya kawaida kama mwanamke atashindwa kufikishwa kileleni na ampendaye basi hukosa hamu ya kufanya tendo siku nyingine anapohitajika kutoa penzi na hata akikubali kufanya basi hufanya kwa kutimiza wajibu kwani huwa hajui utamu wa majambozi, na mwanaume anayeshindwa kutotosheleza mpenzi wake kwa kumpa dozi inayostaili hadi kusikia utamu usiosimulika huyo uwezo wake huwa ni mdogo ambapo mimi huwa napenda kumuita jogoo.

Ndiyo je, unashangaa nini ushawahi muona jogoo alivyofasta kumaliza haja zake za mwili na kumuacha tetea akijiuliza anarudi tena ama ndiyo kaenda maana tetea hubaki kachutama akizani jamaa atarudi kumbe ndiyo imetoka babakeee!

Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo kutawaliwa na usaliti kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni mwanaume, mwanamke au ni wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya kumfikisha kileleni mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo wanawake wachache tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua kujishughulisha kunako sita kwa sita yaani namaanisha wanaume wasio wabinafsi kunako majambozi, tafadhali soma makala haya kwa umakini kisha nenda kayafanyiye kazi haya nitaninayokueleza:-

HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA!

Kadri mwanamke anavyojitahidi kuvuta hisia na kujishughulisha kwa namna moja ama nyinyingine kuweza kuinua hamasa yake ya mapenzi ili kuhakikisha anafika kileleni, ndivyo atakavyoweza kusikia raha ambayo humuwezesha kufikia mshindo.

Amini usiamini hata wanawake ambao wao wakishikwa kidogo tu kwenye kipengele G yaani g-spot na kupigwa katelelo kwa dk 1 hufika kileleni pindi wanapokumbana na presha kutoka kwa wapenzi wao basi hushindwa kufikiakwenye kilele cha raha hata kama mwanaume huyo atadumu kwenye uwanja wa mapambano kwa dk 30!

Mwanamke yoyote yule anapokumbana na presha zisizo na sababu toka kwa mwenza wake dakika chache kabla ya majambozi au kwenye uwanja wa malavedave basi hushindwa 'kupizi' kwani hata kama wazungu (bao) wakiwa wanakuja na dume likaanza kumpandisha presha wazungu hurudi kwao!

Hali hii haiwakumbi wanwake tu bali hata wanaume hushindwa kuwajibika vema faragha pindi wanapokumbana na presha za hapa na pale toka kwa wawapendao.

Hivyo basi wewe mwanaume ili uweze kumfikisha mwenza wako kileleni unapaswa kuhakikisha unaacha kumuuliza unakuja? siju la azizi unakaribia kukojoa? au mpenzi nakufanya vizuri? unajisikia raha? nakukamua vizuri kuliko ....(unamtajia mpenzi wake wa zamani)?

Njia mbadara ya kukabiliana na presha ni kutoelekeza fikra zako kwenye kupiga mabao, fuarahia mchakato mzima wakufanya mapenzi bila shaka unatambua kuwa mapenzi yanayolenga kufurahishana/kupena traha nyote huhitaji kufuata process zote muhimu na hayataki mapenzi ya kuu yaani yaani unamnyatia mpenzi wako na nadni ya dk 3 umeshamsaula na kumkamua na gemu linaisha mwanamke wa watu hata hisia hazijamuamka kidume uko pembeni unatweta yaani mipumzi ya mmmmh kibao, tumia muda wakutosha kutomasana na katika kipindi hiki cha kuandaana ndipo unapohitaji kuhakikisha unamaliza presha zote mlizonazo.

Hatua hii ya kwanza ukiitekeleza basi unaweza ukabadilika katika mtazamo wako juu ya kufanya mapenzi kwani wanaume wengi huwaza kukamua bao zaidi ya mojawakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanamfikisha mwanamke kitu ambacho nsi kweli kwani mwanamke unaweza ukamkojolea hata bao 7, lakini ukashindwa kumfikisha hivyo kama utaweza kutoa wazo la bao ngapi leo namchapanazo na kuondoa presha pindi mnapokuwa faragha, unaweza kushikwa na butwaa kwa jinsi mtoto wa kike atakavyokuwa anakulalamikia kwa raha anayoipata kitandani na kwa mara ya kwanza unaweza kusikia akikwambia nakuja dear......usiniulize anakuja wapi kudadeki!

HATUA YA PILI:

SAHAU SUALA YA KUJIFUNZA MBINU MPYA YA KUMKAMUA UMPENDAYE

Najua wengi wenu mnanishangaakwani mnaamini kuja na staili mpya kwenye uwanja wa mapambano ndivyo unavyoonyesha uwezo wako wakumudu mambo furani pindi unapokuwa faragha nataka nikuhakikishie kuwa kwa kuja na staili mpya kila kukicha ni vigumu sana kumfikisha mwanamke kileleni kwani yawezekana kabisa staili hiyo ikawa inamuumiza lakini anashindwa kukwambia kwa kuwa tu anataka usimuone mshamba hayajui mapenzi hiyo ataugulia kimya kimya bna kwa sababu hiyo basi mawazo yake yote huamia kwenye jinsi gani atatoa ushirikiano wakutosha kwenye hiyo staili mpya uliyompelekea hivyo basi ni vigumu amasa zake za mapenzi kuamka na kujiskia raha ambayo wewe mwanaume mbinafsi uliyetoka kuangalia mkanda wako wa ngono kama siyo kusimuliwa na wenzako kijiweni staili hiyo uliyoingia nayo ulingoni siku ya shughuli utaipata.

Hapa naomba niseme ukweli wanaume wengi wanapenda staili ya kubongolewa sizungumziii ule mchezo machafu wa tigo naomba nieleweke kwana, mwanaume akibongolewa na kulianzisha humchukua sekundwe kadhaa kupiga bao kwani hujisikia raha isiyo kifani kuyaona matikiti maji (wowowo) likizungushwa kwa madahaa huku nyonga ikienda kushoto kulia na ni balaa mwanamke akiwa anajua kukitumia kiuno chake hapo mwanaume anaweza kushituka hata hajakaa sawa wazungu hao! Ndiyo huu ndio ukweli lakini kwa bahati mbaya wapo dada zangu fulani fulani wao wanaangalia wanenguaji wa akudo huko wanavyochezesha nyonga zao kisha wanaenda kuwakatikia madume zao, hii haikubaliki duniani kote kiuno kinachotakiwa kwenye majambozi ni kile kinachogandishwa kiaina yaani kinapelekwa kushoto,chini, juu, kulia kama vile anayekipeleka hataki vile, yap nimekumbuka ni kama vile viuno vya mitego wanavyocheza wadada fulani kwenye taarabu yaani kama mwanaume umekamilika basi ukamwona dada fulani anacheza taarabu kama umekaa hutoinuka kudadadeki ujasili utautoa wapi wakati athumani kichwa wazi udenda unakuwa ushaanza kumtoka!

Mwanaume unachopaswa kuhakikisha ni kuwa unatumia staili ambayo itamuwezesha na mwenza wako kufika kileleni kisha kuendelea na staili zingine kwani wanawake wengi hufika mshindo mara moja tu na wachache hufika kileleni zaidi ya mara moja na kumbuka wengi hufika kileleni kwa kuchezewa ipasavyo kipengele G yaani sehemu zenye ahamasa ya mapenzi kwa mwanamke kuliko utamu wa kusimikwa mzizi


HATUWA YA TATU

Mjengengee hali yakukuamini katika penzi lenu, hakika mwanamke anapobaini kuwa unampenda na humtendi ni rahisi sana kupata raha ya mapenzi pindi mnapokuwa kwenye majambozi kwani mnapokuwa faragha hisia zake za mapenzi huwa juu sana si kwa kile kinachoendelea kwenye mwili wake bali hupanda juu kwa kuwa yupo na mtu anayempenda na kumthamini na anayejua nini maana ya kupenda hivyo kama kweli unampenda mwanamke unayetaka kuanzisha naye uhusiano ama uliyenaye katika uhusiano wa mapenzi hakikisha unaziba mianya yote ya yeye kuwa na mashaka juu yako yaani mfanye amini kuwa unampenda na ni yeye pekee aliyeiteka nafsi yako.


Mwanamke akiamini unampendahakika utazifaidi zake zabibu na katu hatakusaliti kwani utakuwa unamtosheleza kwa kila kitu yaani unampa mapenzi ya dhati ambayo wengi huitaji lakini huishia mikononi mwa walaghai kadhaa ambao wanajua vema kucheza na lugha na maneno matamu kuwapatia mabini za watu na wakishafunuliwa tu huanza nyodo na pengine kuwasahau wapenzi wao yaani wao kuwasiliana nademu wake kwa wiki mara moja ama wiki mbili mara moja tena mawasilainao yenyewe yanaanza mambo vipi na baada ya dakika chache kidume unaulizia mchezo sasa kwa staili hiyo usitegemee kabisa unapokuwa naye faragha utamdatisha kiasi cha kumfikisha! Thubutu yako atakupa miguno ya kinafiki na kukwambia nakuja kumbe hana lolote amechoka kuendelea kukupa huduma hiyo na anaona unamkera tu kwa kuendelea kwako kuwa kifuani na akiona unang'ang'ania basi bwana size atakupunguzia na kufanya msuguano uwe mkubwa sana kiasi cha kukufanya uhimili kukaa kifuani kwa sekunde kadhaa tu yaani wazungu anawaita kwa nguvu na wao bila hiyana wanakuja na usiombe kama unacheza mechi hiyo bila jezi mziki bake utautambua!

Nimalize kwa kusema kuwa jaribu leo, kesho na siku zote za maisha yako kufanya haya nayokueleza umfikishe kileleni umpendaye kwani vinginevyo wenzio watakusaidiakumuonyesha mpenzio raha za dunia kwa mambo matamu kumpatia na kumfanya abaki akigugumia kwa mambo matamu aliyopatiwa na kumng'angania aliyemjumpatia, usishanagye wapo hivi leo ambao wapo kwenye ndoa zao lakini wanashindwa kuachana na maboyfriend zao kutokana na kukereheshwa na kalaa za ndoa zao kwani waweza kukuta mwanamke amevumilia kwa miaka 10 kumtunzia heshima mumewe lakini janaume likawa linashinda baa wee na kungogewa kuanza kuwalamba wahudumu, sasa mke akibaini na akikutana na walimu vipofu huyooooanaenda kumtafuta bwana wake aliyekuwa anampatia kwenye mechi.

MWANAMKE KURIDHIKA

Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!


MWANAMKE KUFIKA KILELENI HARAKA

Kama ambavyo wengi tunatambua kuwa sehemu kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia ngono ni Mapenzi ya kweli juu ya mpenzi wako ikisaidiwa na utundu wako wewe mwenyewe pale unapokua kitandani mwanamke na sio mwanaume japokuwa baadhi ya wanawake hutegemea wanaume wawafanyie kila kitu mpaka kuwafikisha kileleleni.

Wakati mwingine wanaume tuchoka kwa

vile kwa kawaida wanawake wanachukua muda mrefu zaidi kufikia mshindo ukilinganisha na sisi wanaume, kwamba mwanamke anafika ndani ya dakika 10-15 wakati mwanaume anafika ndani ya dakika 1-5 unless awe anajua kujizuia nahapo ndio atakwenda mpaka dakika 45 na baadhi huondoka zaidi ya hapo kutokana na kutosisimuliwa vilivyo (yaani akikupanda hamalizi mpaka uke unakauka na wewe mwanamke hamu inakuishia) hahahahaha usiombe ukutane na mwanaume wa namna hiyo coz utaona hakuna raha ya mapenzi!

JINSI YA MWANAMKE KUFIKA KILELENI KWA KUJISAIDIA WEWE MWENYEWE..
Mbinu ya kuita kilele sio ngumu kama wengi wanavyodhania coz kuna wengine hawajui hata kufika kileleni ndo nini, na ikiwa umebahatika kuwa na mwanaume mwenye uwezo wa kujizuia basi unaweza kupiga 3 ktk mzunguuko wa kwanza .

Unapokuwa ukifanya mapenzi hakikisha akili yako yote iko kwenye kufanya mapenzi, sio lazima umfikirie mpenzi wako bali unaweza kufikiria chochote kitakacho kufanya "unyegetuke" zaidi wakati "mzigo" uko ndani ya uke .

Mfano wee mwanamke unaweza kuwaza/kujisemea "natombwa sasa", unaweza kumuuliza mpenzi wako akuambie anafanya nini in rude way , au kama mwanaume wako anakujua vizuri basi anaweza akaanza kusifia Uke wako ulivyo, anavopenda kukufanya n.k (wengine nasikia huomba kutukaniwa wazazi wao.....hey it works 4 them so jaribu na wewe umwambie mpenzi wako akufanye vile utakavyoona utajisikia raha zaid)

Jinsi jamaa yako anavyokufanya wewe pia msaidie...... jisaidie na hakikisha unahangaika kupata "kipele" (mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa), ukisha hisi dudu imekugusa pnapo utamu mwambie mwanaume wako atulie hapo hapo na wewe anza kufanya "makaratee" zunguusha kiuno chako ktk pembe zote (badilisha mirindimo) na wakati unafanya hivyo hakikisha unabana pumzi na kuiachia papo kwa hapo (hakikisha huiachii kwa muda mrefu yani in sec unabana na kuiachia).

 Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya kimahaba.

Hata hivyo, kumetolewa maelezo na nafuu ya ongezeko la muda katika tendo la pili na kuendelea, ingawa bado suala la kutangulia kufika kileleni kabla ya wanawake limekuwa likiwahuzunisha wanaume wengi.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanaume anapowahi kufika kileleni kabla ya mwenzake humsababishia kero mwanamke anayeshiriki naye tendo, kwani humwacha njia panda pasipokuwa na hitimisho la raha ya kujamiiana.

Hali hii inatokana na maumbile ya uume wa mwanaume ambao husinyaa mara baada ya kuhitimisha mbio zake, lakini kwa mwanamke kuwahi si tatizo, kwani hakumfanyi ashindwe kumsindikiza mwenzake hadi kileleni.

Utofauti huu ndiyo unaowafanya wanaume wahuzunike zaidi wanapokabiliwa na janga hilo kiasi cha kufikia hatua ya kwenda kwa waganga/matabibu ili iwasaidie kuepuka balaa ya kutoka uwanjani na aibu.

Ingawa kumekuwa na mafanikio katika tiba za kisayansi, lakini bado wanaume wameshindwa kupata ukombozi wa kudumu wa tatizo hili. Wengi wamejikuta wakijiongezea mzigo wa fikra kwa kuzitumaini zaidi dawa au kuzitumia na kupata matokeo mabaya zaidi ya kuishiwa nguvu kabisa.

Kwa kufahamu mikinzamo iliyopo kati ya akili na tiba ya nguvu za kiume na madhara yachipukiayo imebainika kuwa, mtu anaweza kujitibu tatizo hilo kwa kutumia kanuni za kisaikolojia na mafanikio yasiyo na madhara yakapatikana.
Wataalamu wa kisaikolojia wanatambua kuwa kanuni ya ufanyaji mapenzi iko zaidi kwenye ubongo kuliko mwilini.

Kinachotokea hadi mtu akapata msisimko wa kufanya mapenzi si mwitikio wa mwili, bali ni utambuzi wa akili juu ya kiwango cha mapenzi kilichopokelewa kwenye ubongo unaojihusisha na hisia.

Usikose kumalizia somo hili wiki ijayo kwenye gazeti hili uweze kutambua mbinu za kuweza kulimaliza tatizo hili kisaikolojia. Ushauri wa masuala ya kimaisha na matatizo yote yanayohuzunisha unatolewa,

  Inaelezwa kuwa, akili ikishiba vigezo na kutuma taarifa zenye usahihi kwenye mwili viungo hupokea hisia na kuanza kusumbua. Kwa msingi huo kama tunataka kufika kileleni mapema au kuchelewa lazima tucheze zaidi na akili kuliko mwili.

Katika hali ya kawaida nguvu ya kupenda inayomwingia mtu huwa kubwa, lakini suala la kupunguza ukubwa wa hisia lazima lipewe kipaumbele. Jambo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wenye tatizo la kufika kileleni mapema ni kuwa na PUPA ya kufanya mapenzi.

Wengi wao hupokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo katika ufanyaji wa tendo la ndoa. Saikolojia inaelekeza kuwa ili mwanaume achelewe kumaliza, lazima apunguze mhemko unaotokana na kuona, kuhisi na kupagawishwa na staili au chombezo toka kwa mwanamke.

Anachotakiwa kufanya ni kutumia zaidi ya dakika 20 kufanya maadalizi na mpenzi wake kabla ya kuanza tendo. Hii itasaidia kuufanya mhemko wake ushuke na kumuongezea muda wa kumaliza.

Aidha mbinu ya kuidanganya akili lazima itumike ili kuzima taarifa za juu za uzuri wa mwanamke, maumbile na raha ya starehe isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini. Hii ikiwa na maana kuwa kuna kipindi inabidi fikra za mwanume zisihamasike sana kwenye tendo badala yake iletwe mawazoni hali ya kawaida, si ile ya kuweweseka na kuhema hema hovyo. Yafuatayo ni maelekezo ya msingi ya kufanya, ili mtu asifike kileleni mapema:

Mume na mke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae kwanza kwa muda, huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi. Pili wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza kazi yao. Wakiwa kwenye hamasa hizo wasiwe kimya bali wazungumze na kuulizana maswali ya kimahaba.

Baada ya hapo mbinu nyingine ya kuzuia mbegu za kiume zisitoke ni ile ya kujibana. Inashauriwa kuwa mwanaume akiona dalili za awali za kumaliza bila kujali ametumia muda gani anachotakiwa kufanya ni kukaza misuli ya miguu na kuzuia mbegu kwa mtindo atumiao kuzuia haja ndogo isitoke.

Kujibana huko kunatakiwa kuende sambamba na kuacha kucheza ‘shoo’. Pacha na hilo mwanaume anatakiwa kuidanganya akili kwa kuilazimisha iwaze jambo jingine hasa la kuhuzunisha ili kuharibu taarifa za raha zilizotumwa mwilini zisiendelee kufanyiwa kazi na hatimaye kumaliza tendo haraka.

Zoezi hili linaweza kuwa gumu katika hatua za kwanza kutokana na kukosea muda sahihi wa kujizuia, lakini mhusika akiendelea kujizoeza atajikuta anaweza na kupata uwezo wa kufanya mapenzi hata kwa saa nzima, hivyo kuondokana na tatizo hilo bila tiba wala madhara. Kwa ufafanuzi zaidi wa tatizo hili na upungufu wa nguvu za kiume nunua kitabu cha Saikolojia na Maisha. Wanawake wengi wanagombana na watu wao kwa sababu kama hizi, hawavutiwi kuwaona waume wao wakiwahi kufika kileleni, hivyo kushindwa kuwapa dozi inayotosheleza.

Wanasikitishwa na hali ya wenzi wao ya kukosa nguvu za kutosha wakati wa kufanya tendo la ndoa ama ugoigoi wa kuchelewa kurudiwa na nguvu za kufanya kweli.

Aidha, wanakosa amani wanapobaini kwamba wapenzi wao hawana msisimko wakati wa kufanya yale ‘mambo yetu’. Hata hivyo, tunapogeuka kisaikolojia hili si tatizo kubwa, bali linahitaji kutuliza akili.

Ninaposema kutuliza akili, nakuwa namaanisha kuwa wengi hawana magonjwa yanayohitaji dawa, isipokuwa wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia tu.

Vijana na baadhi ya watu wazima wengine wanaenda kwa waganga na wakati mwingine wakijikuta wanajiingiza katika matumizi ya mitishamba bila kuelewa kwamba ugonjwa wao haupo kwenye kasoro za kimaumbile, bali upo akilini.

Hapa nataka tukubaliane kwamba jambo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wanaodai kuwa hawana nguvu ni ukosefu wa elimu ya mabadiliko ya kibinadamu na ufahamu duni wa mbinu za kuwawezesha kucheza michezo ya kimapenzi kwa ufanisi.

Mpenzi ni sanaa pana, ina mafunzo mengi na ili uimudu, unatakiwa ujifunze kila siku mabadiliko yaliyopo. Sambamba na hilo, kujua mapito, mazingira, mabadiliko ya mwili na kuyakubali ni mambo ya msingi.

Pamoja na matatizo haya kuwakera wanawake kama nilivyotangulia kusema, huwafanya wanaume kukosa amani. Mara nyingi wanaopata dosari hizi, hujihisi wana nuksi.

Hata hivyo, mshangao unaokuja hapa ni kwamba wanaume hupenda kutafuta mbinu za kutatua tatizo lao bila kuwashirikisha wenzi wao, kana kwamba wao haliwahusu.

Saikolojia inatambua kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni zao la udhaifu wa mke na mume na sio la mwanaume peke yake kama watu wengi wanavyodhani.

Kwa mfano, mwanaume atapata wapi msisimko wa kimahaba kama mwanamke hatakuwa mtundu wa kubuni mbinu za kuufanya mwili uliopoa usisimke?
Atavutiwa nini mwanaume kurudia awamu ya pili, ikiwa kwenye mzunguko wa kwanza alikutana na harufu isiyofaa? Nakshi nakshi humuongezea mwanaume hamu ya kutaka tena na tena. Huo ndiyo ukweli!
Napenda niweke ukweli kweupe, mara nyingi tatizo la msisimko wa kurudia tendo, husababishwa na mwanamke mwenyewe. Kwa maana hiyo, ili litatuliwe ni lazima ziwepo juhudi za pande mbili.