Friday, July 13, 2012

kupunguza kitambi

kupunguza kitambi

  usikimbilie kutatua tatizo tafuta kwanza nini chanzo cha kitambi? Kilitokana na nini? Anagalia vyakula unavyokula, na staili ya maisha.... kutoa kitambi sio kazi rahisi unatakiwa uwe na nidhamu katikta ukaji na kufanya mazoezi hakuna shortcut...kwa kuanzia acha tabia ya kunywa maji ya baridi kila ukimaliza kula baadala yake kunywa ya moto au uvuguvugu. Maji baridi yanagumisha/ solidfy chakula ulichokula sasa kama umekula vyakula vya mafuta ndo balaa. Pendelea kunya maji ya uvuguvugu yaliyotiwa asali kidogo kila asubui kabla hujala bleakfast na usiku.. Puguza kiwango cha sukari unachokula mfano soda na bia,na kwenye chai, pendelea kula mapema usiku na ulale baada ya masaa mawili au matatu baada ya kula..mengine google usome mwenyewe we sio mtu wa kwanza kuwa na kitambi duniani...

1.Ruka kamba sana.
2.Fanya jogging hata ukiwa chumbani kwako waweza fanya (static jog).
3.Punguza kula kula na ukila kula kiasi.
4.Punguza kulala muda mrefu usiku(kama huna cha kufanya chezacheza na shemeji atleast mara moja kila siku.)Nadhani umenielewa.

Afya ya mtu inahusisha Chakula moja kwa moja.

Kuwa na kitambi sio afya, watu wengi wanafikiri mtu mwenye kitambi ni afya.

Kitambi kwa kiingereza ni Obesity.

Matunda na mboga mboga zina umuhimu katika kupunguza kitambi au tumbo kwa wanawake warembo.

Inashauriwa kupunguza kula vyakula vya wanga na mafuta ili kuepuka uwezekano wa kupata tumbo. Kila mlo unatakiwa uwe na mboga mboga. Pia usile chakula ukashiba, kula chakula kiasi na jazia kwa matunda.

Usinywe maji wakati wa kula, kunywa maji kabla ya kula haswa lisaa kabla au kunywa maji masaa 2 baada ya kula. 

 -ULAJI

Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila.
Unavyokula.
-Kuna kula vyakula vidogo vidogo vyenye madini, vitamini, mafuta nk mara nyingi kwa siku; au kula milo michache (mmoja au miwili) mikubwa ili kujaza tumbo. Ulaji mdogo mdogo husaidia afya na kuingia mwilini vyema kuliko ulaji mkubwa wa mara chache. Tumbo lina musuli zinazofanya kazi kama mashine au mnyama. Gari likijaa sana hupata taabu kwenda. Punda hivyo hivyo. Ulaji mdogo mdogo unaosambazwa mara kadhaa kwa siku  ni bora maana mwili unachambua kila kitu kwa wepesi na haraka. Unapokula milo michache mikubwa unapalilia zaidi mafuta mwili.
(PENDEKEZO la kwanza.  Asubuhi, kunywa maji kwanza, matunda, kisha ndiyo chai na vitu vingine kama mkate au maandazi…)
-Wapo wanaodai kwamba wanakula matunda na mboga.
Tatizo ni kwamba mipangilio  yao huwa ya makosa. Mathalan wengi hula matunda baada ya chakula. Vimeng’enya  chakula (enzymes) tumboni hufanya kazi namna tofauti. Mathalan vile vinavyonyambua matunda ni tofauti na vinavyomeng’enya vitu vigumu zaidi kama nyama au wanga. Matunda hunyambuliwa haraka zaidi kuliko vyakula vingine. Hivyo ni bora kula matunda dakika10-20 kabla ya chakula. Ukila baadaye matunda hugeuzwa aina fulani ya pombe (fermented food) inayoelea tu juu ya chakula na kubakia kitu kingine badala ya kuingizwa haraka ndani ya damu kupitia utumbo mdogo, uwengu, moyo, ini, nk.
Tatizo jingine ni kupika sana mboga hadi zikapoteza nguvu.
-Mseto wa vyakula pia ni muhimu. Kwa mfano vyakula vyenye uchachu (acid) na vile vinavyomumunyuka haraka (alkine) havitakiwi viliwe pamoja. Mfano ni matunda. Matunda chachu kama machungwa, mananasi na maembe yatakiwa yawe pamoja; na yale laini zaidi:  ndizi mbivu, matikiti maji, mapapai, matufaha, nk yaende kivyake, maana yana mfumo tofauti, wa kumeng’enywa.
Mpishi Patrick Maka ( katikati, akiwa na wenzake kazini Dar) ni kati ya wapishi wa Kitanzania wanaopigania sana ulaji wa chakula bora
Hali hiyo pia iko katika nyama. Nyama nyeupe (ndege na samaki) tofauti na nyama nyekundu (ng’ombe, kondoo, nk) ziliwe tofauti.
Chakula unachokula
Waafrika  hatuna tabia ya kula mboga mboga mbichi. Tunafuata ladha na mazoea kuliko thamani.
Bara letu lina mboga na vyakula bora kuliko bara lolote duniani lakini sisi tunakufa mapema na kwa utapia mlo kuliko wale wanaotoka nchi kame. Ulaya nzima imejazana mboga mboga zinazoagizwa toka Afrika. Kenya na Tanzania zinauza mboga za maharagwe mabichi (green beans), matunda toka Afrika Kusini na Ivory Coast; nk. Waafrika tunapenda kujaza matumbo. Unene umekithiri hata wale walio matajiri waliosoma bado wanakufa kwa kisukari shauri ya kutokula mboga mbichi.
Ulaji wa mboga mbichi ni upi?
Ni mathalani ulaji wa salad. Tanzania tunaita kachumbari. Lakini si lazima iwe kachumbari ya nyanya, vitunguu na chumvi tu. Waweza kuchanganya matango, nyanya kwa maparachichi; au vitunguu saumu, giligilani na karote. Huu mseto wa mboga mbichi ni mzuri ukienda na chakula chenye nyama za minofu na wanga (ugali, wali, ndizi za kupika nk). Ulaji wa wanga asubuhi, mchana na jioni kila siku huchangia sana katika unene.
(PENDEKEZO LA 2. Ugali kwa samaki; mboga ya majani ya matango kwa nyanya. Usiweke chumvi kwenye hiyo mboga mbichi ya majani.)
Majani na mimea yamezingirwa na barafu Ulaya- vyakula vingi vya watu hawa huagiziwa na kutegemewa Afrika. Lakini wanakula vizuri kutuzidi. Kwanini? Picha na F. Macha
2-UNYWAJI  MAJI
Waafrika hatunywi maji, hasa wanawake. Wanaokunywa maji zaidi ni wacheza michezo. Wengi wetu hunywa zaidi soda (vinywaji baridi kama Cocacola, Pepsi, Mirinda ,Tangawizi  na gesi za kisasa kama Red Bull) zilizojaa gesi inayoleta vidonda tumboni; na chai. Kuliko maji. Na maji haya hutakiwa  dakika 10-20 kabla ya chakula au nusu saa kuendelea baada ya chakula. Ukila  chakula huku unasakatia maji huimanisha mtu una kiu. Ulaji chakula na unywaji maji ni vitu viwili tofauti. Ila utawaona watu wanakula huku wakibugia maji. Unapokula chakula huku unabugia maji unapunguza nguvu za chakula, unajaza tumbo maji na kuchelewesha mmeng’enyo wa chakula (digestion).
Chakula kisipomeng’enywa vizuri kinaketi tu tumboni. Matokeo wengi wetu tuna  matumbo makubwa. Kama hufanyi mazoezi lile tumbo linakwenda pembeni (chini ya mbavu) hasa kwa watu wa makamo linaleta maradhi kama kisukari, kiungulia, kuvimbiwa, uyabisi wa tumbo, nk.
Farasi ni mnyama asiyeliwa ovyo Uingereza; hufugwa tu kwa kazi na michezo. Ipo hoteli moja Scotland imeanza kupika nyama yake kwa chips. Imeandamwa sana na "wapinzani wa kula nyama" wa Kitasha... (Picha na F. Macha)
3-SUALA LA UMENG’ENYAJI
Chakula huanza kumeng’enywa au kusagwa (kwa lugha iliyozoeleka) mdomoni. Mate yako mdomoni ni chanzo cha uchambuaji chakula. Unapobugia chakula bila kutafuna sawasawa unasababisha mambo mawili. Moja chakula kutochambuliwa vizuri, pili chakula kwenda kukaa tu tumboni, au kama kikipita hakisaidii lolote mwilini. Utafunaji wa taratibu husaidia umeng’enyaji. Chakula kinapofika tumboni hukaa pale dakika ishirini. Hapo huchanganywa na asidi (ya manjano iitwayo Hydrochloric) inayokibadilisha tayari kupelekwa utumbo mkubwa, kupitia kongosho. Kule uchafu utapelekwa chini na rutuba kusafirishwa na utumbo mdogo kuelekea katika uwengu, moyo. Moyo utadunda chakula kilichoshageuzwa damu kuelekea mwilini kufanya kazi na akiba hubakishwa katika ini.
Sasa kama usipotafuna vizuri, ukila huku unakunywa sana maji au vinywaji vingine chakula hakimeng’enywi vizuri. Ndiyo maana unawaona watu wengine wanakula sana lakini hawana afya. Wanaugua ovyo ovyo, wanatoka jasho ovyo, wanajamba ovyo, wana matumbo makubwa, wanavimbiwa, wanakaa siku nyingi bila kwenda choo (inatakiwa mtu kwenda haja kubwa mara moja au mbili kwa siku) nk.
Misitu na hewa safi ya mimea- (Picha na F. Macha)
4-ULAJI WA VYAKULA VYA MAFUTA
Mafuta ni suala muhimu sana mwilini. Ila ulaji wake shurti uwe wa mpangilio. Yaani unaowiana. Lazima mtu uwe na wastani mzuri wa vyakula vya nguvu, yaani “wanga” (ugali, ndizi, wali, viazi mbalimbali, mikate, mahindi, nk), ujenzi yaani “protini” (mboga na nyama), “madini” (mbegu mbegu mbichi si za kukaanga sana na chumvi) na “vitamini” (matunda, maziwa, mayai, nk).
Waafrika tunapenda nyama. Nyama ni muhimu sana maana ina madini aina ya chuma (nyama nyekundu) protini,nguvu na mafuta. Ila mafuta yaliyoko katika nyama mara nyingi si mazuri shauri hayatoki, huganda. Chukua nyama ya kuku na samaki ambayo huwa na ngozi. Wengi wetu hupenda sana kula ile ngozi ya wanyama hawa kwa kuwa tamu. Lakini haya ni mafuta mabaya.
Mafuta ya samaki lakini ni mazuri. Samaki anayo mafuta ya Omega-3 ambayo husaidia mwili na kinga maradhi mwilini.
Tunapokula nyama choma au ya kukaanga, lazima tule pia mboga za majani (mbichi) na si vizuri kula nyama kila siku. Kama huwezi kukaa bila nyama kila siku, fanya mazoezi ya mwili.
PENDEKEZO LA 3- Kula mbegu mbegu za korosho, karanga au mlozi (ziwe mbichi badala ya kukaanga na chumvi) kati kati ya siku. Haya ni mafuta yenye rutuba mwilini kuliko nyama za mafuta.
Chips za Magimbi zilizopikwa na kuonyeshwa ndani ya tovuti ya Miriam Rose ,  dada wa Kibongo anayetukuza mapishi ya Kitanzania duniani. Habari zaidi tembelea : www.tasteoftanzania.com
5-MAZOEZI YA MWILI NA VIUNGO
Mazoezi ni mfalme wa kupunguza unene.
Ukiwauliza wengi watakuambia wanafanya kazi ngumu za sulubu (wanachuruzikwa jasho) kwa hiyo hayo ni mazoezi. Ila kazi na mazoezi ni vitu viwili tofauti. Ingekuwa kufanya kazi ni mazoezi basi kusingekuwa na wastani mfupi wa maisha kwa maskini hasa sisi Waafrika.
Wengine watadai kwamba walipokuwa wadogo shuleni walifanya mazoezi sasa wamekuwa watu wazima (miaka 40 kuendelea) kwamba eti mazoezi ni suala la ujana; kumbe kadri unavyokuwa ki umri ndivyo kadri unavyotakiwa kufanya mazoezi na kujitazama zaidi kiafya.
Watazame Wachina na Wajapani wanavyoishi maisha marefu.
Mazoezi ni shughuli inayokufanya kwanza uheme (mapafu na moyo kwenda kasi), viungo na mifupa kujinyoosha (stretching), kutoka jasho na usafishaji wa damu. Mazoezi yanayosaidia haya ni pamoja na kutembea kasi, kukimbia, kuogelea, michezo mbalimbali ya riadha (kama mpira wa miguu, nyavu, kikapu, mikono, nk); michezo ya kupigana na kujilinda yaani masho ati(karate, kung fu, judo, capoeira, krav maga, jiu jitsu, systema, kickboxing, thai boxing, kempo, kalari payatu, aikido, nk) …
Ni muhimu mwanadamu ufanye mazoezi makali ya viungo mara mbili tatu kwa juma. Si vizuri kufanya kila siku kwani musuli na mishipa inahitaji kupumzika na kukua.
Kama unapenda kuinua vyuma lazima uwe na mwalimu wa kukuelekeza; na si vizuri kufanya kila siku.  Wastani wa mara mbili tatu kwa juma inatosha kabisa.
Mdau wa Kitoto naikabili bahari shakiri ya English Channel. Kuogelea ni moja ya tizi bab kubwa lisilohitaji kingine bali mwili wako...maji bure asilia ya Muumba al Dunia. (Picha na A. Macha)
6-UPO UFANYAJI MAZOEZI WA AINA MBILI
Mazoezi ya nguvu ya kuhema niliyotaja hapo juu (cardio-vascular) na yale laini ya kujinyoosha yaani ambayo hutumia zaidi nguvu za ndani na pumzi. Haya ya pili ni kama Yoga (India) , Tai Chi Chuan (China) na aina mpya mazoezi iliyoanza Majuu miaka ya karibuni yaani Pilates (hutamkwa hivyo hivyo ilivyoandikwa Pilates). Haya laini yanawafaa zaidi watu wazima na nchini China na Japan mathalan utawakuta wazee wa miaka 80 hadi 90 bado wanayafanya. Husaidia moyo, damu na akili.
Michezo na mazoezi ya mwili ni njia kuu ya kupunguza unene, kurefusha maisha, kuchangamsha ubongo, kupunguza ulevi, uvutaji sigara, dawa za kulevya, tabia mbaya za uvivu, ugomvi, nk.  Mataifa yenye watu wanaofanya mazoezi kama Japan, Brazili, India, China nk  huwa na wachapa kazi wengi na wananchi wanaoipenda jamii yao.
Chakula cha wanga kwa wingi kilichozoeleka sana Afrika ni kitamu; ila kinakosa mboga mbichi za majani, yaani Saladi- (Picha na F Macha)
7-KULA SANA CHUMVI SI VIZURI
Ulaji chumvi mwingi hutokana na suala la ladha. Kisayansi vyakula  vyote vina chumvi asilia sema tu tumezoea kuongezea madini hii iitwayo Sodium. Sodium inachangia sana kufupisha maisha. Huifanya mishipa ya damu ichoke; ni kama bomba lolote la maji ukilitazama baadaye hugeuka rangi kutokana na yale maji kupita pale kila siku.
Kwa wale tunaoishi nchi za joto na kutoka sana jasho kula chumvi ni muhimu. Ila tatizo letu ni kwamba hatunywi maji ya kutosha. Mtu ukiwa na kiu unakunywa soda au kinywaji cha sukari; inakuwa kama unaendelea kuutesa mwili. Kwa vipi? Mishipa inayopitisha damu mwilini badala ya kusaidiwa kwa maji inawekewa kazi zaidi ya kusafisha sukari na chumvi. Ndiyo maana vifo vingi vinatokea mapema; wastani wetu wa maisha haupiti miaka 50.
Utafiti uliofanywa chuo kikuu cha California, Marekani mwanzoni mwa 2010, umethitibisha kwamba vifo vingi duniani husababishwa na maradhi ya moyo na saratani ambavyo hutokana na uvutaji sigara, unene, ulevi na ulaji sana wa chumvi na sukari. Tukipunguza ulaji wa chumvi tunasaidia pia kupunguza maradhi ya moyo, utafiti unasema.
Mabasi ya ghorofa daraja mashuhuri la Tower Hill, London. Asilia kubwa ya wakazi hapa wanahusudu sana mazoezi shauri mji umebanana sana na hewa si safi. Taswira ilipigwa na mpiga picha Mike Nicholas, baharia wa Kibongo mkazi, Denmark, alipotembelea jiji hili la nne duniani kwa gharama, karibuni .
8-TAFITI ZA VYUO KADHAA ULIMWNGUNI KUHUSIANA NA AFYA
-Jarida la Kimarekani la sayansi lilieleza mwaka jana kwamba utapunguza ugonjwa wa moyo (ambao husababishwa na unene , wasiwasi na purukshani) kwa asilia mia 42 kama utakula matunda na mboga za majani peke yake kila siku, juu ya msosi wa kawaida.
(PENDEKEZO LA KULA- Na 4- Kula mlo wako. Baada ya saa mbili au tatu, sakatia tunda au matunda; baada ya mlo mwingine, kula sahani ya mseto wa mboga mbichi kama karote na matango. Utaona tofauti ya afya, ngozi, wajihi, kinyesi, usingizi, nk. Kidesturi tumezoea kunywa chai au soda za sukari sukari na gesi kati kati nya milo badala ya matunda na mboga mbichi za majani).
-Utafiti uliofanywa na wanasayansi  chuo kikuu cha South Carolina mwanzo wa mwaka 2010 kuhusu faida za kuogelea.
Zoezi la kuogelea  lina faida zaidi ya kukimbia au kutembea kwa vile huchanganya mazoezi makali na pumzi, kusaidia mapafu na moyo. Utafiti ulithibitisha kuogelea hupunguza hatari za kifo kwa asili mia hamsini.
-Utafiti wa jarida la chuo cha uganga Ulaya umeeleza (desemba 2009) kwamba kulala nusu saa kila mchana (“nap”) husaidia  kupunguza ugonjwa wa moyo kwa asilimia 37.
-Uchunguzi wa chuo cha michezo cha Hispania mwanzoni mwa 2010 umethibitisha kwamba ukikimbia mara tatu kwa juma (jogging) unaongeza nyege mwilini kwa asili mia 75. Hasa kwa watu wa makamo mnaoanza kupoteza nguvu za urijali.
-Uchunguzi chuo kikuu cha Leeds, Uingereza  mwanzoni mwa 2010 umeonyesha unapotembea kwa miguu, ukikwepa barabara kubwa zisisokuwa na mioshi ya magari (pollution) unapunguza matatizo ya maradhi ya hewa chafu kama pumu, mapafu na appendix.
-Uchunguzi wa chuo kikuu cha Texas mwaka 2010 umegundua kwamba  kula tunda la divai nyekundu mara kwa mara husaidia kupunguza  kupata ugonjwa wa kisukari.
-Hapo hapo tunaelezwa kwamba watu weusi na bara la Asia wanakumbwa zaidi na ugonjwa wa kisukari kutokana na vinywaji vya sukari sukari na gesi (fizzy drinks). Ukinywa kiasi cha miligramu 300 za vinywaji hivi (Cocacola, Red Bull, Fanta, nk)  kwa siku unajitahadharisha kupata kisukari.
Njiwa London, mtaa wa Westbourne Park. Huruhusiwi kisheria kumpiga manati, kumuua au kumfanya ndege huyu kitoweio nchi hii. (Picha na F. Macha)
9-KUFUNGA
Neno kufunga linatambuliwa rasmi kuhusiana na Waislamu (mwezi Ramadhani) au Wakristo (Lenti nk). Ufungaji huo una masharti mengine ya kidini tofauti na haya ya kiafya.
Mathalani wafungaji  hawa hula chakula kingi usiku; ukihesabu wanafunga wastani wa saa 12 tu. Kawaida ukitaka virusi na takataka nyingine mwilini zitoweke, au viungo vipumzike wahitaji saa 20 kuendelea.
Ufungaji ninaouongelea ni ufungaji wa kutokula kabisa kwa saa 24, 36 hadi 48 kuendelea…
Ufungaji ni nini?
Kama mashine yeyote mwili wa mwanadamu unahitaji kupumzika na kujisafisha. Hata tukiwa tumelala bado viungo mbalimbali mwilini vinafanya kazi. Kwa hiyo faida ya kwanza kabisa ya kufunga ni kuupumzisha mwili kama mfanyakazi yeyote anapokwenda likizo.
Faida ya pili ya kufunga ni kusafisha mwili kutokana na uchafu ambao haukutoka (kinyesi hakitoi mabaki yote toka utumbo mkubwa), dawa na takataka za mazingira tunayoyavutia hewa, virusi au kuyanywa katika maji na vyakula mbalimbali na pia uchafu wa hisia, yaani hasira, huzuni, nk.
Kuna ufungaji wa aina mbalimbali.
1-Kufunga kwa kunywa maji tu, saa 24 kuendelea…
2-Kufunga kwa kutokunywa maji au kula chochote, saa 24 kuendelea…
3-Kufunga kwa kula tu matunda au mboga zilizopondwa kama karote, matango nk, saa 24 kuendelea…
Ufungaji huu unatakiwa ufanywe kwa mpangilio. Kitu muhimu si tu kufunga bali NAMNA unavyofungua. Ukianza kula tena, unaanza taratibu. Kawaida ni vizuri kuanza na maji, kikombe au bilauri ya kwanza taratibu. Subiri tena nusu saa, bilauri nyingine, halafu hadi ya tatu, halafu ndiyo matunda yasiyo ya chachu, na kadhalika. Kuanza kufungua kwa kunywa chai ya maziwa, uji au vyakula vingine vya wanga hakusadii sana mfungo huu.
Maana lengo lake ni kusafisha mwili.
PENDEKEZO LA 5- Kwa wenye imani za kidini. Unaweza pia kufunga hivi ukawa pia unasali au kuvaa mavazi yanayokufanya mtu wa amani. Ukifanya hivi unajitakasa kimwili na kiroho. Si lazima ungojee ile miezi ya kufunga na wengine.
10-USINGAJI
Usingaji au masaji ni njia nzuri sana ya kupunguza unene. Ikiwa unaangalia namna unavyokula, unafanya mazoezi na kusingwa mara moja au mbili kwa mwezi unaupalilia mwili vizuri. Nini faida ya usingaji? Kusinga husaidia ngozi, mishipa ya damu na sura nzima ya mwili na taswira yako mwanadamu. Wengi wetu tunaposikia neno kusinga tunafikiria usingaji wa mapenzi. Hivi ni vitu viwili tofauti kwani usingaji wa mapenzi unaimanisha mahusiano ya kihisia.
Kifupi mwanadamu unatakiwa uwe unautunza na kuungalia mwili wako kama nyumba au hekalu lako. Wengi wetu tunaoga, tunajipaka marashi, tunasuka, tunanyoa nywele au ndevu; lakini miili yetu kiundani inaoza taratibu…

NAMNA YA KUFANYA MAZOEZI YA KUONDOA TUMBO NA KUPUNGUZA MAPAJA








Jinsi ya kuanza mazoezi ya tumbo na namna ya kumalizia
















  1. Jiulize ni kwanini unataka kufanya mazoezi?
  2. Panga muda wako mzuri ili usigongane na shuguli nyingine muhimu za kimaisha.(Asubuhi na mapema Recommended)
  3. Hakikisha mwili wako ni mzima kiafya(huna maleria na magojwa mengine yakawaida)
  4. Tengeneza ratiba yako ya mazoezi,(siku ngapi na ni mazoezi gani utafanya)
  5. Kuwa na malengo(baada ya mwezi mmoja nataka niwe nimepungua kilo 2 mfano)
  6. Hakikisha unapima kilo zako kabla ya kuanza mazoezi(hukutia moyo ukijua umepungua)
  7. Anza kidogo kidogo(yani inaweza kuwa mara 3 au 4 kwa wiki ila iwe ni zaidi ya 30 mnts)
  8. Pata muda wa kupumzika vyakutosha.
Ningependa kushauri kwamba kwa wale wote ambao ndio mara ya kwanza wanaanza mazoezi ya kupungua kwa mwezi wote wa kwanza wafanye mazoezi ya kukimbia tuu na kunyoosha viungo(ingawa zoezi sio kukimbia tuu hata kuogelea ni zoezi kubwa sana nafikiri ndio zoezi number moja duniani linalopunguza uzito haraka zaidi kuliko mengine kwa mujibu wa wachunguzi) ili kuupa mwili taharifa ya nini kinakuja au kuaandaa mwili kwa lugha nyingine wakati huo pia unatengeneza na pumzi yakukusaidia katika mazoezi yanayofuata baada ya hapo.




Chini kabisa ni mazoezi ya mapaja
kuanza nz kumalizia

MWANAUME HII YAKUFAA KABISA USIDHARAULIKIE

VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
 NYIE WANAWAKE/WADADA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATOKEA HUMU. WAUME ZENA ASUBUHI ANAKULA VITUMBUA 2 NA CHAI. MCHANA ANASHINDIA KAHAWA, USIKU UMEMPIKIA WALI, UGALI MBOGA HATA HAIELEWEKI. SIKU IMEISHA, UNATAKA AKUTOMBE KWA NGUVU IPI??????????????????????????
VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
1, Kitunguu swaumu – Kitunguu swaumu kina kemikali aina ya allicin ambayo huongeza mzunguko wa damu kwenda kwenye uume, huongeza hamu ya kufanya mapenzi na utolewaji wa shahawa.
2. Habat al soda (black caraway seeds) – Mafuta,mbegu,au unga wa habat soda kama wengi wanavyoita na ambazo zimetumika kwa miaka mingi sana kupunguza tatizo hili na waandishi wengi wameeleza umuhimu wake. Tumia kidogo kwenye chai au maji ya uvuguvugu mara mbili kila siku. Mbegu hizi hupatikana kwa wingi katika nchi za asia kama Saudi Arabia, Syria, Iran, Dubai (UAE), na hata Misri, Tanzania (Dar-es-salaam katika maduka ya dawa za asili ya kariakoo, mbagala, na Zanzibar)
3.Celery au giligilani – Hii huchochea hamu ya tendo la ndoa kutokana na uwepo kwa wingi wa kichocheo aina ya androsterone.
4.Ndizi – kuwepo kwa wingi kwa enzyme aina ya bromelain na madini ya potassium huongezeka msisimko wa kufanya mapenzi kwa wanaume.Potassium pia hupatikana kwenye tikiti maji ambalo pia lina kemikali aina ya arginine ambayo huongeza wingi wa damu katika mishipa ya damu na hivyo kusaidia katika kusimika kwa uume.
5. Parachichi – Huwa na kiwango kikubwa cha folic acid ambayo huvunjavunja protini. Vitamini B6 kwenye parachichi huchochea kutengeza kichocheo aina ya testerone kwa wingi.
6. Mayai – Mayai yana kiwango kikubwa sana cha vitamini aina ya B5 na B6, ambazo husaidia kuleta usawa wa viwango vya vichocheo mwilini na kupunguza msongo wa mawazo.
7.Nyanya/Tungule (tomatoes) – Zina kiwango kikubwa cha virutubisho aina ya bio-active phyto-nutrients, lycopene, na beta carotene ambazo husaidia kuleta damu kwa wingi kwenye uume na hivyo kusaidia kusimika kwa uume
8, Chocolate – Ina kiwango kikubwa cha kemikali aina ya theobromine na phenylethylamine ambazo huongezeka hamu ya kufanya mapenzi.
9, Vitamin A – Husaidia katika kuweka usawa wa vichocheo vya mapenzi (sexual hormones). Vyakula venye wingi wa vitamin hii ni pamoja na karoti, maini,tikiti maji, spinach, maziwa nk.
10,Vitamin B complex – Huongeza kiwango cha kichocheo cha testerone ambacho husaidia katika kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake. Vitamini B complex hupatikana kwa wingi kwenye ndizi, viazi tamu, lentils, mboga za majani, parachichi (avocado), mayai, nyama aina ya tuna, bata mzinga, maini nk.
11.Vitamin C – Tafiti zilizofanywa karibuni zimeonyesha ya kwamba vitamini C inapotumiwa pamoja na vitamini nyengine, husaidia L-enantiomer ya ascorbic acid kudhibiti msongo wa mawazo, wasiwasi (anxiety), utolewaji wa homoni ya prolactin na huongeza mzunguko wa damu pamoja na kutolewa kwa kichocheo cha aina ya oxytocin na hivyo kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa. Vyakula venye vitamin C ni ndimu, chungwa, limao, brussels sprouts, mapera, tikiti maji, nyanya, broccoli, kiwi, papai, strawberries, pilipili hoho na pilipili mbuzi nk.
12,Vitamin E – Husaidia kudhibiti matamanio ya mwanamume pamoja na kusimika kwa uume kutokana na uwepo wa vichocheo aina androgens na estrogen ambavyo huchanganyikana na homoni za mayai (ovarian hormones) na testerone. Vyakula venye vitamin E ni pilipili hoho, nyanya, olives, tunda aina ya kiwi, papai, mafuta ya alizeti, karanga nk.
13.Madini ya Zinc – Muhimu katika utengenezaji wa testerone
14,Madini ya selenium – Huongeza uwezo na nguvu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
15, Madini ya magnesium na calcium – Calcium ni muhimu katika kusaidia ufanisi wa kufanya mapenzi. Huweka mawasiliano ya karibu kati ya ubongo na tezi zinazotoa vichocheo vya mapenzi pamoja na kusaidia katika ufanyaji kazi wao. Madini ya magnesium husaidia kuondoa madhara ya madini ya calcium katika kusaidia kuhimili kusimika kwa uume. Vyakula venye madini ya calcium ni maziwa, mtindi, cheese, siagi, chungwa, almonds, walnuts, maharage meupe, ice cream, chocolate nk.
16,Cinnamon stick (mdalasini) na Asali (Honey) – Mchanganyiko wa vitu hivi viwili husaidia sana katika kuongeza ufanisi kwa wale wenye tatizo hili. Jinsi ya kuandaa, chukua mdalasini robo na changanya na asali nusu lita kisha weka kwa siku tatu, baada ya siku tatu anza kunywa kwa kutumia kikombe cha kahawa mara tatu kwa siku kwa muda wa wiki mbili (kama utatumia mdalasini nusu basi changanya na asali lita moja)

PUNYETO /KUJICHUA

Punyeto

Ni nini?

Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.


Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa mboo au kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.
Kwa nini punyeto huonekana kuwa makosa?

Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.


Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.
 
ATHARI ZA PUNYETO:
Athari zakisaikolojia (Psychological effects) zinaanzia pale unapovuta hisia kazi za ngono. Bila kuwa na hisia kali huwezi kupata uamsho au ‘sexual avousal.’ Hisia kali ni za kulaizmisha kwahiyo zitakudumaza ambapo utashindwa msisimko wa kawaida hadi ufikiri sana.
Hali hii ikiendelea hata ukiwa na mwanamke utashindwa kusisimka haraka au utashindwa kubisha kufanya tendo kutokana na mgongano katika akili yako ambapo utajitahidi kuvuta hisia kali wakati mwanamke yupo hapo hapo karibu yako. Hapa ndipo utasikia mtu analalamika hapati hamu ya tendo la ndoa, akiwa na mwanamke uume huchelewa kusimama na hata ukisimama wakati wa tendo anawahi sana kumaliza na kushindwa kuendelea na tendo la pili.
Vilevile mtu wa aina hii huumwa na kichwa, kiuno na mgongo ingawa siyo mara kwa mara kwa wanawake wanaotumia viungo bandia vya uume nao huwa hawana hamu wala msisimko wowote wakiwa na wanaume.
Athari nyingine ni za kimwili (mechanical effects). Athari za kimwili ni maumivu ya uume kutokana na kusugua uume mara kwa mara, kulegea kwa misuli ya uume kutoana na kutumia nguvu kwa muda mrefu ili uweze kujitosheleza. Unaweza kupata michubuko katika uume au ndani ya njia ya mkojo. Unaweza kupata nagonjwa ya mishipa ya damu ya uume (microvascular effects) ambapo kutokana na kujisuguasugua mishipa inaweza kuziba hasa ile ya kurudisha damu nakufanya uume usimame bila kikomo kwa muda mrefu au usisimame kabisa.
Matatizo haya yote kwa pamoja husababisha upungufu mkubwa wa nguvu za kiume na kupoteza uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Kwa ambao tayari wamekutwa na matatizo haya wataelewa vizuri. Hali hii ya kujichua hukufanya utumie hisia nyingi au nguvu nyingi na nishati nyingi kiasi cha nguvu zote zitumika kufikiri na kufanya kitendo.uelewe kwamba, ubongo unatumia asilimia 60 ya nishati yote mwilini na pia unapokojoa au kufikia mshindo mmoja, nishati au nguvu unaozotumia ni sawa sawa na mtu aliiyetembea kwa mguu umbali wa kilometa 15.
Kwa hiyo basi, kama wewe ni mwanafunzi na unaendekeza punyeto, ubongo wako utakuwa unachoka kila wakati kiasi kwamba utakuwa msahaurifu darasani, unakuwa unapoteza poteza kumbukumbu, mwili utakuwa mchovu na kila wakati utakuwa unasinzia daima hasa afya yako haitakuwa nzuri utakuwa mchovu daima.
 

MWANAMKE ANAMILIKIWA HIVI. ATAKUPENDA DAIAM

WAWEZA KUMMILIKI MWANAMKE KWA HIVI
1. Tambua mwanamke uliyenaye ana tabia gani,anapenda nini na anachukia nini.Mpe anachopenda na usifanye asichopenda
2. Mpe attention maana wanapenda,na ni wote,ukiona Mwanamke hataki attention yako jua kuna jamb nyuma ya pazia au wewe ni 2nd choice
3.Surprise her! Hakuna Mwanamke hapendi surprise,bado sijaona,na anayejifanya hapendi anazuga tu...Na wala surprise yenyewe wala haitakiwi na sio lazima iwe expensive ndo iwe surprise...Ile feeling kwamba My boy amenikumbuka out of nowhere wins a lot....Ukienda mahali ukakuta kitu kizuri,buy for her...buy her a gown,buy her shoes..buy her earings...buy her a nice watch..
4.Be proud of her ukiwa around marafiki zako.Atajisikia vibaya kama humtambulishi,ataanza kuhisi yupo uliyemtambulisha ndo maana yeye unampotezea
5.Mtambulishe kwa ndugu zako,hata kama hujampeleka kwa wazazi
6. Epuka ugomvi unnecessarily...Wanawake ni watu wa kumind vitu vidogo na sometime unaweza ukashangaa,hata hiki amemind??
7.Mpe hela asipotegemea.
8.Mbusu mahali asipotegemea....Tembea nae kwa uhuru na umpe uhuru wa kukushika...Nenda nae outings sehemu romantic,for a dinner or lunch....Kuna mahali ha-expect wewe utambusu,mbusu hapo!Atashangaa
kwa njia hizi haendi popote

SIKU HIZI KITAALAMU ZAIDI NA MAMBO YANAKUWA KAMA UNAVOTAKA,

UKITAKA KUZAA MTOTO WA JINSIA GANI, FANYA HIVI.
1]MWANAMKE WAPASWA KUJUA VYEMA MZUNGUKO WA SIKU ZAKO.Inafaa tufahamu kuwa ili kuweza kujua ni siku zipi za mwezi mwanamke anaweza kushika mimba (to conceive) inabidi tujua kwanza kipindi ambacho mwili wa mwanamke uko tayari kushika mimba au Ovulation Period. Ovulation ni wakati ambao yai lililokua hutoka katika mirija ya ovari katika kizazi cha mwanamke na katika wakati huu uwezo wako wa kushika mimba ni mkubwa
2]Kwa kawaida mwanamke hutoa yai lenye mbegu x ambazo ni za kike. mwnaume hutoa mbegu zenye X,Y kwa maana ya kiume na kike na Ovulation haifuati mpangilio maalum kati ya ovari katika kila mwezi na haijulikani ni ovari gani itatoa yai kila mwezi. Wakati yai linapotoka huwa na uwezo wa kurutubishwa au kukutana na mbegu ya kiume na kuanza kutengeneza mtoto kwa muda wa masaa 12 hadi 24, kabla halijapoteza uwezo wake. na Iwapo yai litafanikiwa kurutubishwa na mbegu ya kiume kwa wakati maalum na kujikita katika fuko la uzazi basi matokeo yake ni mimba. Na iwapo halitorutubisha yai hilo pamoja na kuta za kizazi huharibika na kutoka nje ya mwili kama damu ya hedhi.
3] Mzunguko wako wa mwezi ni siku ya kwanza ya hedhi hadi siku ya kabla ya kuanza hedhi nyingine. Kwa mfano iwapo nimepata siku zangu tarehe Pili Julai na nimepata tena siku zangu tarehe 29 Julai, mzunguko wangu ni wa siku 28. Kwa kawaida mzunguko wa siku 28 ndio mzunguko wa kawaida kwa wanawake wengi. Lakini kuna baadhi ya wanawake huwa na mzunguko wa chini ya siku 28 na wengine huwa na mzunguko wa hadi siku 35.
Note;Kipindi cha kubeba mimba huanza siku 4 hadi 5 kabla ya Ovulation, na humalizika masaa 24 hadi 48 baada ya hapo hii ni kwa sababu muda wa ovulation huweza kuchelewa au kuwahi kutokana na sababu mbalimbali.
4]mbegu ya kiume huwa na uhai kwa siku 4 hadi 5 na yai huweza kuishi kwa masaa 24 hadi 48 baada ya kuingia katika tumbo la uzazi. Hivyo kwa kujua siku hizo humsaidia mwanamke kufahamu kipindi chake cha Ovulation kimewadia na hivyo kuweza kukukutana na mumewe au mwenza wake wakati huo ili aweze kubeba mimba.
5]sasa Kila yai la mwanamke lina chromozu mbili za X. Iwapo manii ya mwanamume au spemu (ambayo in chromozomu X na Y) itakuwa na X na kurutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke. Vilevile iwapo spemu ya mwanamume itakuwa na Y na kurutubisha yai la mwanamke, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamume.
6]inakuwa hivi, mbegu za kiume n[Y] zina spidi sana nahufa mapema sana masaa machacha tu. zile za kike [X] huchelewa kufika ila zinaishi muda mrefu.
mfano wa mchanganuo wa mtoto wa kike.
• Unajamiiana siku 2 au 3 kabla ya Ovulation. Kinadharia spemu za kiume zitakuwa zimeshakufa hadi kufikia siku hasa ya Ovulation na kuziacha spemu za kike zikiwa hai tayari kurutubisha yai na kuunda mtoto wa kike.
• Anashauri pia wanawake wajizuie kufikia kileleni (orgasm) kwani hali hiyo itaufanya uke uwe na hali ya asidi ambayo ni kwa faida ya spemu ya kike yenye chromozomu X.
• Pia anawashauri wazazi wanapojamiina wawe katika hali ya mwanamke kulala chini na mwanamume juu au missionary position. Kwani anasema kuwa mtindo huo huziwezesha spemu zenye chromozamu X zimwagike karibu na mlango wa uke na kuwa na uwezekano mkubwa wa kuingia ukeni na kutungwa mimba.
MCHANGANUO RAHISI WA KUPATA MTOTO WA KIUME.
(1)-Mbegu zinazosababisha mtoto wa kiume hutoka haraka na kwa speed kubwa sana ili kuungana na Yai vilevile hufa haraka (hufa ndani ya masaa 3 ya mwanzo).

(2)-Mbegu zisababishazo mtoto wa kike hujivuuuta sana (maringo ya wanawake yanaanza b4 hata hatujawa viumbe kha! hihihihi) na hubaki hai kwa zaidi ya masaa 72 (zaidi ya siku tatu).


(3)-Bao zito na lenye afya ndio muhimu kusababisha mtoto wa kiume (mlishe mumeo lishe bora).


Hivyo basi ili kufanikisha hili unapaswa kutegea siku ambazo wewe unajua yai lako limepevuka na linasubiri kurutubishwa na mbegu ya kiume. Ukingonoka kwenye siku hatari kuliko zote ni wazi kuwa zile mbegu za jinsia ya kiume zitakuwa za kwanza kurutubisha yai na kufanya mimba ambayo itakuwa ya mtoto wa kiume.

ENDAPO UNAUMIA.

MWANAMKE KAMA UNAPATA MAUMIVU WAKATI UNATOMBANA NA MUMEO BAADA YA ROUND YA KWANZA AMA YA PILI FANYA HIVI.
1]-Kama hustahimili mzunguuko wa tatu ambao labda ni mrefu lakini yeye haridhiki mpaka apige bao la tatu basi msaidie kwa kumpa mikono au mdomo na utakapohisi kuwa anakaribia jirushe au jigeuze ili akuingilie ukeni wakati bado uko "tayari" hali itakayokufanya uepuke maumivu kwani hatokupeleka mwendo mreeeefu nakusababisha maumivu
2] mkao/mtindo mnaotumia kufanya mapenzi, kumbuka kuna mikao/mitindo mingine husababisha maumivu kwa mwanamke lakini utamu kwa mwanaume, hivyo unapaswa kutambua mikao gani inawafaa wote wawili au kubadili kila baada ya muda fulani kuliko kushupalia mkao.mtindo mmoja mwanzo mpaka mwisho.....hasa kama mkao huo ndio unakusababishia Discomfort.
3] mpenzi wako anakwenda mwendo mrefu zaidi hali inayoweza kusababisha mafuta ya Condom kukauka, ute wako kidogo kukauka na uke kuwa mkavu bila yeye kujua....kwa kawaida ukitumia Condom kwa zaidi ya dakika 15 au pale unapohisi ukavu unapaswa kubadilisha na kuvaa mpya.Unajua baadhi ya wanaume wanaongeza "mwendo" kutokana na mzunguuko, mfano ikiwa mzunguuko wa kwanza ulimalizika haraka labda ndani ya Dk 10, mzunguuko wa pili unaweza kumchukua Dk30, Mzunguuko wa tatu ukaenda Dk45 mpaka saa na kuendelea.
4] mnapofikia mzunguko wa tatu, vilevile inawezekana huwa hauna ute wa kutosha (kwa baadhi ya wanawake mzunguuko wa 3 huitaji kilainisho cha ziada kama mate au Kay Jel) hali inayoweza kukusababishia "sore" ukeni na hivyo kuhisi maumivu pale unapoingiliwa.
NAAMINI KWA HAPO TUPO PAMOJA.

MWANAMKE HII NI ZAWADI TOSHA KWA MUME WAKO HATA KAMA KACHOKA NA KUKASIRIKA

MFANYIE HIVI MUME WAKO LAZIMA AWE MWEHU KWAKO.
fanya hivi mumeo achanganyikiwe kabisa kwako,
Vipele vya kumyegesha mwanaume viko vingi na sehemu tofauti na hutegemea zaidi na mwanaume mwenyewe na vilevile jinsi wewe utakavyo vitumia/chezea ili kumfurahisha mwenzi wako au "kumnyegesha" (turn on). Pamoja na utofauti wao wanaume kwa ujumla wanapenda sana kukandwa sehemu ya juu ya mgongo, kiunoni, makalio yao, miguu(hasa vikanyagio) sehemu ya nyuma ya mapaja, ile sehemu ya ndani ya mapaja bila kusahau makende na uume. Kama mara kwa mara unamkanda a.k.a "massage" mpenzi wako(mwanaume) lakini hata siku moja hajawahi kunyegeka (na wewe ungependa kumnyegesha kwa massage) basi jaribu hii na ninakuhakikishia mambo yatakuwa mazuri kabisa. Mlaze kifudi-fudi.....kisha mkalie kiunoni (natumai huna uzito wa zaidi ya kg 60) na anza kufanyia kazi sehemu ya kichwa (pembeni kule karibu na macho) huku ukimpa maneno mazuri yakumfanya asahau matatizo yaliyojitokeza kazini au kwenye shughuli zake nyingine za kuendesha kimaisha na kuhamishia akili yake hapo alipo. Hamishia viganja vyako taratibu sehemu ya shingo...usikae sana hapa.....then hamia mabegani namoja kwa moja mgononi tumia muda wa dk 20 hivi kumkanda mabega na mgongo na wakati huu utapaswa kujiinua kidogo ili uweze kupitisha viganja vyako kiunoni). Ukimaliza jiondoe hapo juu yake na kisha jiweke katikati ya miguu yake na ipanua miguu hiyo ili upate nafasi ya kufanya shughuli yako. Kwa kutumia mafuta maalum kwa ajili ya "massage" au unaweza kutumia baby oli au lotion yeyote yenye asili ya mafuta (yenye asili ya maji hukauka haraka). Mwagia kiasi mafuta yao juu ya makalio yake na pitisha viganja vyako kama vile unampaka mtoto (sio kwa nguvu) ukisha eneza sehemu nzima sasa endelea kumkanda makalio yake taratibu na tumia kama dk15-20 alafu shuka taratibu kwenye sehemu ya nyuma ya mapaja yake fanyia kazi paja moja baada ya lingine.

Hongera kwa kumaliza hatua hiyo.....sasa tumia mikono yako laini yenye mafuta kupenyeza pale yalipo mapumbu (akiwa kalalia tumo utayaona) hivyo yakande taratibu usiyavute ikiwa hayajajitokeza sana kwa nyuma. Kwa kufanya hivyo kutamfanya mpenzi wako aanza kusikia raha zaidi na hivyo atainua sehemu yake hiyo ya nyuma ili kukupa nafasi wewe kuyafanyia kazi makende yake......wewe endelea kuyakanda taratibu huku ukipitisha viganja vyako sehemu ya ndani ya mapaja yake pia(wakati huu itakuwa rahisi kuyafikia kwa vile atakuwa kajiinua).....

Sasa nenda mpaka kwenye uume na ushike kama vile unavyoshikilia "kitwangio" wengine huita Mchi alafu endelea kumkanda sehemu yote hiyo kisha mgeuze taratibu na uendelee na kazi yako yamikono mpaka atakapo omba mambo fulani au endelea namkono mpakama acheke a.k.a amwage.

SIKU MBAYA WAWEZA KUMRIDISHA HIVI MPENZI WAKO.




Ulishawahi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi lakini mwenza wako yupo kwenye siku zake za hedhi??Au kwa mwanamke ulishawaki kusikia hamu ya kufanya mapenzi wakati upo kwenye siku zako za hedhi?? Basi leo nitawaambia nini cha kufanya wewe na mwenza wako.

 Mara nyingi wanawake wanashikwa na hamu sana ya kufanya mapenzi siku za mwisho za kumaliza hedhi na mara tu baada ya kumaliza hedhi ila bado sijajua ni kwanini hali hii hutokea japo si kwa wote.Na katika kipindi hicho pia joto letu la mwili linakuwa kubwa sana kiasi cha kuongeza msisimko kwa mwanaume pindi mnapogusana.


Nini cha kufanya?
Kama ulikuwa hujui zipo njia nyingi sana za kuridhishana nitazitaja kama ifuatavyo


KUMRIDHISHA MWANAMKE( Hedhi huwa inatoka kidogo): Hapa naomba nichambue kidogo
Taratibu sogeza ulimi wako kwenye midomo yake, mpe mate au denda kama wasemavyo wengine huku mikono yako ikipapasa sehemu zingine za mwili, taratibu shuka maeneo mengine kama kwenye shingo na kwenye matiti pia mchezee na umnyonye vizuri kabisa huku ukimshika maeneo ya sehemu zake za siri( hapa usiingize mkono kabisa namaanisha unamshika juu ya chupi yake ambayo itakuwa imeambatana na pedi) hapo hisia za mwanamke lazima zitakuwa juu na utaona akiongeza speed ya pumzi, unaweza mchezea hapo kwa muda then mpeleke bafuni atoe pedi na muanze kuoga raha zaidi kama mtakuwa mnatumia shower (wale wa tubs au vindoo vya maji mtapata shida kidogo) mpake sabuni taratibu kwenye maeneo yale hatari namaanisha kwenye kisimi huku unaendelea kumnyonya denda na mkono wako mmoja unashika matiti yake, hakikisha unakisugua vizuri kinembe chake hii inaweza kuchukua dakika kadhaa kutegemea na mtu hadi mwanamke kufikia climax.


KUMRIDHISHA MWANAUME:
 Mwanamke usijisikie vibaya mpenzi au mume wako akiomba mzigo wakati upo kwenye siku zako na wala usikatae, we mwambie tu nipo kwenye siku zangu ila nitakuridhisha.
1. Sucking(Blowjob), unaweza kumnyonya mpenzi wako sehemu mbalimbali kuanzia kwenye chuchu, hadi maeneo hatari na akaweza kukojoa hapa pia maujanja lazima yatumike kwenye unyonyaje manake wengine mnanyonya utadhani unataka kumtoa mtu nyama tumia ulimi wako taratibu sana na wala usikaze ulimi
2. Handjob, baada ya kupapasana na kunyonyana maeneo yote muhimu basi unaweza paka mafuta kwenye mikono yako na kumpigia nyeto mwenza wako hadi atakaporidhika japo hii inaweza kuchukua muda kutokana na mtu na mtu
3. Matiti, hii ni kwa wale wenzangu wenye matiti makubwa, yanaweza yasiwe makubwa saaana ila muhimu ni kama matitit yanakutana basi uwezo wa kumridhisha mpenzio kwa njia hii unao, paka mafuta matiti yako yalainike then pitisha uume katikati ya matiti na muanze mchezo heheheheeeeeee patamu hapo
4. Mapaja, pia hii inanoga sana kwa wale wenye mwili kidogo, kitu cha nyamanyama hahahaaaa kama njia iliyopita paka mafuta hapo kati then pitisha
5. Hapa kwa wale wanaofunga macho, yaani anakwambia hata kama upo kwenye siku zako twende hivyohivyo, hii ni nzuri ikifanyika bafuni na vizuri pia kama mtatumia mpira ingieni bafuni mwanamke ajisafishe vizuri then mwanaume avae mpira wake vizuri then mambo yaendelee baada ya hapo ni kujisafisha tu au kama mtaenda peku(Japo sikushauri sababu ya magonjwa) basi hakikisha maji yanatiririka wakati mnasex,


MESSAGES;

OVE SMS.




 KWAKO MPENZI NIKUPENDAE
Uketi chini mpenzi, ya moyoni nikwambie,
Daima nitakuenzi, uhai uniishie,
Hutoipata simanzi, nataka ufurahie,
Pendo langu kwako wewe, halipimwi kwa mizani.

Halipimwi kwa mizani, uzitowe wazidia,
Pendo linayo thamani, hakuna cha kufikia,
Hata kwa mizani gani, huwezi kulipimia,
Pendo langu kwako wewe, hutolikuta dukani.

Hutolikuta dukani, ati labda lauzwa,
Pendo li ndani moyoni, kwalo pendo nimemezwa,
Kwani halina kifani, kwa kitu likaigizwa,
Pendo langu kwako wewe, kwa mwingine hulikuti.

Kwa mwingine hulikuti, pendo akakupatia,
Nina pendo lenye dhati, ya moyo uloridhia,
Pendo liso na wakati, daima kufurahia,
Pendo langu kwako wewe, ling'aalo kama nyota.

Ling'aalo kama nyota, maishani kuwa nuru,
Pendo raha kulipata, kufaidi kwa uhuru,
Pendo chozi kunifuta, kwa nini nisishukuru,
Pendo langu kwako wewe, liishi zote dawamu.

Liishi zote dawamu, linipe raha ya moyo,
Pendo hili na lidumu, kwa furaha linipayo,
Pendo hili mbona tamu, kwa tamu niipatayo,
Pendo langu kwako wewe, kamwe halina mipaka.

Kamwe halina mipaka, pendo mali yako yote,
Kukupenda sitochoka, pendo ulimi na mate,
Juwa kwangu umefika, wala us'ende kokote,
Pendo langu kwako wewe, waache waone wivu.

Waache waone wivu, kwa pendo ninalokupa,
Sisi tule zetu mbivu, pendo lizidi nenepa,
Kwako niwe msikivu, sitowaza kukutupa,
Pendo langu kwako wewe, wacha lizidi shamiri.

Wacha lizidi shamiri, wacha pendo na ling'ae,
Kukupata ni fahari, wengine uwakatae,
Pendo kwako li mahiri, unifae nikufae,
Pendo langu kwako wewe, mbona linanipa raha.

Mbona linanipa raha, ni bahati sana mie,
Pendo lajaa furaha, wacha nilifurahie,
Kwa pendo nipate siha, nishibe na nichanue,
Pendo langu kwako wewe, ni mwisho wa mambo yote

LOVE

KOVE MESAGES;
kwanini umwambie mtu unampenda kwa dhati na wakati unamdanganya,
ona hata macho yako yanakusuta,hata moyo umechoka kubeba uongo
kila umuonae oooh nakupenda khaaa kuwa na mmoja..
She is hot!she is swee!she always needs a lip for kiss whole world is mad for her!who?who is she?do you know?
FURAHA, UPENDO NA AMANI NDO NGUZO MUHIMU KTK MAHUSIHANO YOYOTE YALE DUNIANI!
 
Ssshhh....don't be afraid,its me...putting a blanket of love upon so that you'll never feel that alone!love you have a sweet night with a full of heavenly dreams..
 
How Can U "SM..LE"
Without "I"
How Can U "F....NE"
Without "I"
How can U "W..SH"
Without "I"
How Can U "FR..END"
Without "I"
"I" am very Important! But this "I" can never achieve "S_CCESS" Without "U"
 VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
NYIE WANAWAKE/WADADA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATOKEA HUMU. WAUME ZENA ASUBUHI ANAKULA VITUMBUA 2 NA CHAI. MCHANA ANASHINDIA KAHAWA, USIKU UMEMPIKIA WALI, UGALI MBOGA HATA HAIELEWEKI. SIKU IMEISHA, UNATAKA AKUTOMBE KWA NGUVU IPI??????????????????????????
VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
1, Kitunguu swaumu – Kitunguu swaumu kina kemikali aina ya allicin ambayo huongeza mzunguko wa damu kwenda kwenye uume, huongeza hamu ya kufanya mapenzi na utolewaji wa shahawa.
2. Habat al soda (black caraway seeds) – Mafuta,mbegu,au unga wa habat soda kama wengi wanavyoita na ambazo zimetumika kwa miaka mingi sana kupunguza tatizo hili na waandishi wengi wameeleza umuhimu wake. Tumia kidogo kwenye chai au maji ya uvuguvugu mara mbili kila siku. Mbegu hizi hupatikana kwa wingi katika nchi za asia kama Saudi Arabia, Syria, Iran, Dubai (UAE), na hata Misri, Tanzania (Dar-es-salaam katika maduka ya dawa za asili ya kariakoo, mbagala, na Zanzibar)
3.Celery au giligilani – Hii huchochea hamu ya tendo la ndoa kutokana na uwepo kwa wingi wa kichocheo aina ya androsterone.
4.Ndizi – kuwepo kwa wingi kwa enzyme aina ya bromelain na madini ya potassium huongezeka msisimko wa kufanya mapenzi kwa wanaume.Potassium pia hupatikana kwenye tikiti maji ambalo pia lina kemikali aina ya arginine ambayo huongeza wingi wa damu katika mishipa ya damu na hivyo kusaidia katika kusimika kwa uume.
5. Parachichi – Huwa na kiwango kikubwa cha folic acid ambayo huvunjavunja protini. Vitamini B6 kwenye parachichi huchochea kutengeza kichocheo aina ya testerone kwa wingi.
6. Mayai – Mayai yana kiwango kikubwa sana cha vitamini aina ya B5 na B6, ambazo husaidia kuleta usawa wa viwango vya vichocheo mwilini na kupunguza msongo wa mawazo.
7.Nyanya/Tungule (tomatoes) – Zina kiwango kikubwa cha virutubisho aina ya bio-active phyto-nutrients, lycopene, na beta carotene ambazo husaidia kuleta damu kwa wingi kwenye uume na hivyo kusaidia kusimika kwa uume
8, Chocolate – Ina kiwango kikubwa cha kemikali aina ya theobromine na phenylethylamine ambazo huongezeka hamu ya kufanya mapenzi.
9, Vitamin A – Husaidia katika kuweka usawa wa vichocheo vya mapenzi (sexual hormones). Vyakula venye wingi wa vitamin hii ni pamoja na karoti, maini,tikiti maji, spinach, maziwa nk.
10,Vitamin B complex – Huongeza kiwango cha kichocheo cha testerone ambacho husaidia katika kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake. Vitamini B complex hupatikana kwa wingi kwenye ndizi, viazi tamu, lentils, mboga za majani, parachichi (avocado), mayai, nyama aina ya tuna, bata mzinga, maini nk.
11.Vitamin C – Tafiti zilizofanywa karibuni zimeonyesha ya kwamba vitamini C inapotumiwa pamoja na vitamini nyengine, husaidia L-enantiomer ya ascorbic acid kudhibiti msongo wa mawazo, wasiwasi (anxiety), utolewaji wa homoni ya prolactin na huongeza mzunguko wa damu pamoja na kutolewa kwa kichocheo cha aina ya oxytocin na hivyo kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa. Vyakula venye vitamin C ni ndimu, chungwa, limao, brussels sprouts, mapera, tikiti maji, nyanya, broccoli, kiwi, papai, strawberries, pilipili hoho na pilipili mbuzi nk.
12,Vitamin E – Husaidia kudhibiti matamanio ya mwanamume pamoja na kusimika kwa uume kutokana na uwepo wa vichocheo aina androgens na estrogen ambavyo huchanganyikana na homoni za mayai (ovarian hormones) na testerone. Vyakula venye vitamin E ni pilipili hoho, nyanya, olives, tunda aina ya kiwi, papai, mafuta ya alizeti, karanga nk.
13.Madini ya Zinc – Muhimu katika utengenezaji wa testerone
14,Madini ya selenium – Huongeza uwezo na nguvu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
15, Madini ya magnesium na calcium – Calcium ni muhimu katika kusaidia ufanisi wa kufanya mapenzi. Huweka mawasiliano ya karibu kati ya ubongo na tezi zinazotoa vichocheo vya mapenzi pamoja na kusaidia katika ufanyaji kazi wao. Madini ya magnesium husaidia kuondoa madhara ya madini ya calcium katika kusaidia kuhimili kusimika kwa uume. Vyakula venye madini ya calcium ni maziwa, mtindi, cheese, siagi, chungwa, almonds, walnuts, maharage meupe, ice cream, chocolate nk.
16,Cinnamon stick (mdalasini) na Asali (Honey) – Mchanganyiko wa vitu hivi viwili husaidia sana katika kuongeza ufanisi kwa wale wenye tatizo hili. Jinsi ya kuandaa, chukua mdalasini robo na changanya na asali nusu lita kisha weka kwa siku tatu, baada ya siku tatu anza kunywa kwa kutumia kikombe cha kahawa mara tatu kwa siku kwa muda wa wiki mbili (kama utatumia mdalasini nusu basi changanya na asali lita moja)