Saturday, July 14, 2012

MATATIZO YA MISULI YA UKE KUBANA AMA KULEGEA SASA . FANYA HIVI.

HUWA KUNA MAZOEZI YA KUKUZA /KUIMARISHA MISULI YA UKE. MARA NYINGI TATIZO HILO HUTOKEA BAADA YA KUJIFUNGUA YAJUE MAZOEZI HAYO THEN AWE ANAYAFANYA UTAONA MABADILIKO. VILE VILE WAKATI MNAFSNYA MAPENZI JARIBU KUBADILISHA STYL MARA KWA MARA ZIPO NYINGINE ZINAZOFANYA KUMA IBANE NA ZINGINE ZINAACHA LOOSE. UTAKAYOONA NZURU BASI UWE UNAITUMIA MARA KWA MARA.
Wanawake wengi baada ya kuzaa zaidi ya mara moja na kama hawakuwa watu wa mazoezi misuli ya uke hulegea na kupelekea kupoteza mnato na u-tight wa uke na pia kutojiamini wakati wa kufanya mapenzi kutokana na kupwaya kwa uke.
Kitaalamu hili zoezi huweza kurudisha hiyo hali ya kuwa tight baada ya miezi miwili kwa kufanya kila siku mfululizo na kwa kujitoa na kuwa serious.

Je, hili zoezi ni gumu?

Si gumu
Ni rahisi sana
Ni salama
Siyo zito na halichoshi
Linaweza kukupa matokeo baada ya wiki nane

Je, unaanzaje au nitajuaje huu ndo msuli wenyewe?

Kwanza ili kufanya hili zoezi anza kwa kutambua misuli ya uke au uume inayohusika kwa kuzuia mkojo unapotoka, then kojoa kwa kukata huku ukikaza misuli kwa kutoa mkojo kwa kuhesabu sekunde 4 hadi 10 au namba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10 the unakojoa tena ujazo wa kijiko cha chai then unaanza upya kwa kukata na kuhesabu 1 – 10 kila unapoenda kukojoa muda wowote.

Hii inasaidia kutambua msuli unaohusika na kukaza uke au uume.
Msuli uliotumia kuzuia mkojo ni rahisi kuuhisi ndo huo unahusika.
Hii misuli husaidia kukaza matundu matatu huko chini kwa mwanamke ambayo ni uke, tundu la mkojo na tundu la kutolea haja kubwa.
Ndiyo maana watu wanaofanya upuuzi ule wa sodoma na gomora kuna wakati huhitaji kuvalishwa nepi maana misuli imelegea hauwezi kuzuia tena haja kubwa.

Ukishapatia kujua msuli upi unamtumia kuzuia mkojo, basi unaweza kuendelea na zoezi hata kama hukojoi au kutoa haja kubwa kwa kuendelea kukaza kama vile unakojoa au unatoa haja kubwa ingawa siyo.

Unaweza kurudia zoezi muda wowote hata kama hukojoi mahali popote, kwenye kiti ofisini, kwenye daladala nk.
Wakati unafanya Hakikisha kuna tofauti ya sekunde tatu hadi kumi.
Pia unaweza kuongeza kukaza hiyo misuli kila ukikojoa fanya zaidi ya 20 kwa siku
Fanya kwa wiki nane mfululizo.

No comments: