Thursday, April 18, 2013

MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE;

Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile Haya Hapa . 


Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-



#: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.

#: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
#: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
#: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
#: Kuharisha.
#: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
#: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
KWA UPANDE WA MWANAMKE.

Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

Kila mwenye tatizo aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu au Tiba ya kwanza ni kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za kucheki afya yako.

No comments: