huenda mwanaume unakuwa hujui kwa nini umeoa na mwanamke hujui kwa nini umeolewa.
- kupika
- kufua
- kudeki
Sababu kuu ya kufunga ndoa ni mapenzi,
Kwa kawaida wanandoa huwa wanashauriwa kuto kuachana au kuvunja ndoa
unapaswa kumpa mapenzi ya kihisia zaidi na kufanyiana mambo matamu ya kimapenzi ambayo ni zaidi ya ngono ya kuingiza uume ukeni, kama vile kukangana miili yenu, kuchezeana miili yenu ktk mtindo wa kimapenzi na kama utaweza basi unaweza ukawa unampa ile kitu inaitwa “kazi ya mikono” ambayo ni ngono na hakika itamridhisha kingono
Kwanini hafanyi mapenzi na wewe lakini anasimamisha!!
Kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kumfanya mwanume apoteze hamu ya kufanya mapenzi, kumbuka hamu na nguvu ni vitu viwili tofauti tena kwa wanaume kusimamisha pia kuko kwa aina mbili kusimamisha kwa vile wako tayari kungonoka na kusimamisha kwa vile ni sehemu ya ujinsia wao kwa maana kuwa kuna aina mbili za mwanaume kusimamisha:- (1)-kutokana na mawazo ya kingono (2)-kutokana na kuwa stimulated kwa kushikwa au kuguswa na kitu kama vile shuka, chupi, mkono n.k
Mfano ni mwanaume kusimamisha asubuhi, ile haina maana kuwa anataka ngono japokuwa inaweza kufanyika ngono kama akikuona ukopembeni na ukamvutia then akapata mawazo ya kingono on top of msimao ambao ulisababishwa na mzunguuko wa damu wakati kalala......
Yeye kuwa muanzilishi wa kutaka/kufanya ngono kitu ambacho huwa kina udhi/kera na kuchosha na hivyo mtu anaamua kutokufanya kabisa......(Kuanzia sasa usisubiri yeye aanze, anzisha wewe). Hii itamfanya ajiamini na kuhisi kuwa anavutia pia anafurahi kuona kuwa mkewe sio Gogo, pia mara moja kwa wiki mfanyie mumeo jambo litakalo mfurahisha, pagawisha na kumridhisha kingono).Mumeo anahitaji ushirikiano mkubwa kutoka kwako,
Wanaume wengi hapa Duniani wakishafunga ndoa basi wanadhani wamepata “mtumwa” badala ya msaidizi,mpenzi, mke na mama wa watoto mtarajiwa. Kwamba kila kitu utakuwa unakifanya wewe......yaani hata kuondoa nywele zake kenye kitana mke ndio aondoe.
baadhi ya wanaume kusaidiwa na wake zao ktk mtindo wa ku-take over huwapotezea hali ya kujiamini na kuhisi kuwa "wameolewa"
kuongea nae vizuri, kumshauri/kumpa matumaini, kumshirikisha kwenye maamuzi (japokuwa hawezi kuchangia kwa sasa), kuonyesha unampenda na kuvutiwa nae zaidi sasa hana kazi kuliko alivyokuwa na kazi(anzisha ngono, cheza na mwili wake na kuwa mtendaji mkuu), kuonyesha kuwa unaweza kusimama wewe kama mama bila kuonyesha stress au kuzidia (anajua kuwa unazidiwa lakini sio lazima umuonyeshe au kulalamika kwani itamuangamiza kiakili), usionyeshe kukerwa na yeye kutokuwa na kazi, kumpa matumaini kuwa kazi ni kazi tu as long as senti zinaingia n.k.
mshawishi kwa maneno na vitendo kuwa kufanya mapenzi kunasaidia kuondoa au kupunguza stress, nikifanikiwa basi nitahakikisha namfanyia mambo hadimu ambayo najua yanaondoa stress hata kwa masaa mawili (which itamfanya anitake kingono mara kwa mara).
kukunyima raha ya kutombana/unyumba, hilo nasikitika hata mimi.Sijui kama umewahi fanya utafiti wa kina kama huyo mumeo ana matatizo fulani kama ulivyosema kuwa jogo lake linasimama, hiyo siyo hoja sana kusimama kunaweza kuwepo lakini mtu mwenye akawa mvivu kuitikia.Si unajua hata watoto wadogo huwa jogoo zao zinasimama asubuhi?lakini haziwatumi kwenda kukamua mademu ni relaxation ya mishipa tu ya mwili inapobaini kuwa sasa inakabili mihimili mingine baada ya usiku kucha kulala.
Je wewe unatumia mbinu gani kumshawishi na kumvutia mumewe kama mnalala kitanda kimoja tena umesema wala hamgombani je umewahi mchokoza wewe au kumwanza wewe kumtia kashkashi za mahamu na manyege ili awekwe sawa kiakili?Au vipi unamvaliaje mumeo mnapokuwa ndo mnajikita chumbani kwenu au na wewe unakuwa mvivu kumsogelea maana umesema hata siku moja hajakuambia kuwa anakutamani au vipi.Je wewe umewahi mwambia kuwa unamtamani na unataka kula dodo naye?tena huyo ni mumeo kwa nini mtumie lugha za maficho kama vile unakutana na mpenzi tu wa kawaida badala ya kummiliki maana huo ni mwili wako kama wewe ulivyo mwili wake pia.siku zingine shika hilo jogoo cheza nalo uone kama bado jamaa hashtuki.usikae mbali naye mnapokuwa kitandani hapo hata mlalie juu kabisa ukimkolombweza hasa hadi kijulikane!!
Je wewe umemuomba unyumba? au unataka yeye ndio akuombe kila siku? kama hujamuomba unyumba basi mie nashauri uenende ukafanye ivo,
No comments:
Post a Comment