PUNYETO /KUJICHUA
Punyeto
Ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa
yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.
Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.
Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.
Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi
unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako
mwenyewe.
Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.
Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa mboo au
kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa
vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.
Kwa nini punyeto huonekana kuwa makosa?
Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.
Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.
Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu
huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi
bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.
Pia hofu ya
kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha
kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.
ATHARI ZA PUNYETO:
Athari zakisaikolojia (Psychological effects) zinaanzia pale unapovuta
hisia kazi za ngono. Bila kuwa na hisia kali huwezi kupata uamsho au
‘sexual avousal.’ Hisia kali ni za kulaizmisha kwahiyo zitakudumaza
ambapo utashindwa msisimko wa kawaida hadi ufikiri sana.
Hali hii ikiendelea hata ukiwa na mwanamke utashindwa kusisimka haraka au utashindwa kubisha kufanya tendo kutokana na
mgongano katika akili yako ambapo utajitahidi kuvuta hisia kali wakati
mwanamke yupo hapo hapo karibu yako. Hapa ndipo utasikia mtu analalamika
hapati hamu ya tendo la ndoa, akiwa na mwanamke uume huchelewa kusimama
na hata ukisimama wakati wa tendo anawahi sana kumaliza na kushindwa
kuendelea na tendo la pili.
Vilevile mtu wa aina hii huumwa na
kichwa, kiuno na mgongo ingawa siyo mara kwa mara kwa wanawake
wanaotumia viungo bandia vya uume nao huwa hawana hamu wala msisimko
wowote wakiwa na wanaume.
Athari nyingine ni za kimwili (mechanical
effects). Athari za kimwili ni maumivu ya uume kutokana na kusugua uume
mara kwa mara, kulegea kwa misuli ya uume kutoana na kutumia nguvu kwa
muda mrefu ili uweze kujitosheleza. Unaweza kupata michubuko katika uume
au ndani ya njia ya mkojo. Unaweza kupata nagonjwa ya mishipa ya damu
ya uume (microvascular effects) ambapo kutokana na kujisuguasugua
mishipa inaweza kuziba hasa ile ya kurudisha damu nakufanya uume usimame
bila kikomo kwa muda mrefu au usisimame kabisa.
Matatizo haya yote
kwa pamoja husababisha upungufu mkubwa wa nguvu za kiume na kupoteza
uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Kwa ambao tayari wamekutwa na matatizo
haya wataelewa vizuri. Hali hii ya kujichua hukufanya utumie hisia
nyingi au nguvu nyingi na nishati nyingi kiasi cha nguvu zote zitumika
kufikiri na kufanya kitendo.uelewe kwamba, ubongo unatumia asilimia 60
ya nishati yote mwilini na pia unapokojoa au kufikia mshindo mmoja,
nishati au nguvu unaozotumia ni sawa sawa na mtu aliiyetembea kwa mguu
umbali wa kilometa 15.
Kwa hiyo basi, kama wewe ni mwanafunzi na
unaendekeza punyeto, ubongo wako utakuwa unachoka kila wakati kiasi
kwamba utakuwa msahaurifu darasani, unakuwa unapoteza poteza kumbukumbu,
mwili utakuwa mchovu na kila wakati utakuwa unasinzia daima hasa afya
yako haitakuwa nzuri utakuwa mchovu daima.
No comments:
Post a Comment