MWANAMKE ANAMILIKIWA HIVI. ATAKUPENDA DAIAM
WAWEZA KUMMILIKI MWANAMKE KWA HIVI
1. Tambua mwanamke uliyenaye ana tabia gani,anapenda nini na anachukia nini.Mpe anachopenda na usifanye asichopenda
2. Mpe attention maana wanapenda,na ni wote,ukiona Mwanamke hataki
attention yako jua kuna jamb nyuma ya pazia au wewe ni 2nd choice
3.Surprise her! Hakuna Mwanamke hapendi surprise,bado sijaona,na anayejifanya hapendi anazuga tu...Na wala surprise yenyewe
wala haitakiwi na sio lazima iwe expensive ndo iwe surprise...Ile
feeling kwamba My boy amenikumbuka out of nowhere wins a lot....Ukienda
mahali ukakuta kitu kizuri,buy for her...buy her a gown,buy her
shoes..buy her earings...buy her a nice watch..
4.Be proud of her
ukiwa around marafiki zako.Atajisikia vibaya kama humtambulishi,ataanza
kuhisi yupo uliyemtambulisha ndo maana yeye unampotezea
5.Mtambulishe kwa ndugu zako,hata kama hujampeleka kwa wazazi
6. Epuka ugomvi unnecessarily...Wanawake ni watu wa kumind vitu vidogo na sometime unaweza ukashangaa,hata hiki amemind??
7.Mpe hela asipotegemea.
8.Mbusu mahali asipotegemea....Tembea nae kwa uhuru na umpe uhuru wa
kukushika...Nenda nae outings sehemu romantic,for a dinner or
lunch....Kuna mahali ha-expect wewe utambusu,mbusu hapo!Atashangaa
kwa njia hizi haendi popote
No comments:
Post a Comment