MWANAUME HII YAKUFAA KABISA USIDHARAULIKIE
VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
NYIE
WANAWAKE/WADADA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATOKEA HUMU. WAUME ZENA
ASUBUHI ANAKULA VITUMBUA 2 NA CHAI. MCHANA ANASHINDIA KAHAWA, USIKU
UMEMPIKIA WALI, UGALI MBOGA HATA HAIELEWEKI. SIKU IMEISHA, UNATAKA
AKUTOMBE KWA NGUVU IPI??????????????????????????
VYAKULA HIVI VINAKUSAIDIA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
1, Kitunguu swaumu – Kitunguu swaumu kina kemikali aina ya allicin
ambayo huongeza mzunguko wa damu kwenda kwenye uume, huongeza hamu ya
kufanya mapenzi na utolewaji wa shahawa.
2. Habat al soda (black
caraway seeds) – Mafuta,mbegu,au unga wa habat soda kama wengi
wanavyoita na ambazo zimetumika kwa miaka mingi sana kupunguza tatizo
hili na waandishi wengi wameeleza umuhimu wake. Tumia kidogo kwenye chai
au maji ya uvuguvugu mara mbili kila siku. Mbegu hizi hupatikana kwa
wingi katika nchi za asia kama Saudi Arabia, Syria, Iran, Dubai (UAE),
na hata Misri, Tanzania (Dar-es-salaam katika maduka ya dawa za asili ya
kariakoo, mbagala, na Zanzibar)
3.Celery au giligilani – Hii huchochea hamu ya tendo la ndoa kutokana na uwepo kwa wingi wa kichocheo aina ya androsterone.
4.Ndizi – kuwepo kwa wingi kwa enzyme aina ya bromelain na madini ya
potassium huongezeka msisimko wa kufanya mapenzi kwa wanaume.Potassium
pia hupatikana kwenye tikiti maji ambalo pia lina kemikali aina ya
arginine ambayo huongeza wingi wa damu katika mishipa ya damu na hivyo
kusaidia katika kusimika kwa uume.
5. Parachichi – Huwa na kiwango
kikubwa cha folic acid ambayo huvunjavunja protini. Vitamini B6 kwenye
parachichi huchochea kutengeza kichocheo aina ya testerone kwa wingi.
6. Mayai – Mayai yana kiwango kikubwa sana cha vitamini aina ya B5 na
B6, ambazo husaidia kuleta usawa wa viwango vya vichocheo mwilini na
kupunguza msongo wa mawazo.
7.Nyanya/Tungule (tomatoes) – Zina
kiwango kikubwa cha virutubisho aina ya bio-active phyto-nutrients,
lycopene, na beta carotene ambazo husaidia kuleta damu kwa wingi kwenye
uume na hivyo kusaidia kusimika kwa uume
8, Chocolate – Ina kiwango
kikubwa cha kemikali aina ya theobromine na phenylethylamine ambazo
huongezeka hamu ya kufanya mapenzi.
9, Vitamin A – Husaidia katika
kuweka usawa wa vichocheo vya mapenzi (sexual hormones). Vyakula venye
wingi wa vitamin hii ni pamoja na karoti, maini,tikiti maji, spinach,
maziwa nk.
10,Vitamin B complex – Huongeza kiwango cha kichocheo cha
testerone ambacho husaidia katika kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa
wanaume na wanawake. Vitamini B complex hupatikana kwa wingi kwenye
ndizi, viazi tamu, lentils, mboga za majani, parachichi (avocado),
mayai, nyama aina ya tuna, bata mzinga, maini nk.
11.Vitamin C –
Tafiti zilizofanywa karibuni zimeonyesha ya kwamba vitamini C
inapotumiwa pamoja na vitamini nyengine, husaidia L-enantiomer ya
ascorbic acid kudhibiti msongo wa mawazo, wasiwasi (anxiety), utolewaji
wa homoni ya prolactin na huongeza mzunguko wa damu pamoja na kutolewa
kwa kichocheo cha aina ya oxytocin na hivyo kuongeza ufanisi wa tendo la
ndoa. Vyakula venye vitamin C ni ndimu, chungwa, limao, brussels
sprouts, mapera, tikiti maji, nyanya, broccoli, kiwi, papai,
strawberries, pilipili hoho na pilipili mbuzi nk.
12,Vitamin E –
Husaidia kudhibiti matamanio ya mwanamume pamoja na kusimika kwa uume
kutokana na uwepo wa vichocheo aina androgens na estrogen ambavyo
huchanganyikana na homoni za mayai (ovarian hormones) na testerone.
Vyakula venye vitamin E ni pilipili hoho, nyanya, olives, tunda aina ya
kiwi, papai, mafuta ya alizeti, karanga nk.
13.Madini ya Zinc – Muhimu katika utengenezaji wa testerone
14,Madini ya selenium – Huongeza uwezo na nguvu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
15, Madini ya magnesium na calcium – Calcium ni muhimu katika kusaidia
ufanisi wa kufanya mapenzi. Huweka mawasiliano ya karibu kati ya ubongo
na tezi zinazotoa vichocheo vya mapenzi pamoja na kusaidia katika
ufanyaji kazi wao. Madini ya magnesium husaidia kuondoa madhara ya
madini ya calcium katika kusaidia kuhimili kusimika kwa uume. Vyakula
venye madini ya calcium ni maziwa, mtindi, cheese, siagi, chungwa,
almonds, walnuts, maharage meupe, ice cream, chocolate nk.
16,Cinnamon stick (mdalasini) na Asali (Honey) – Mchanganyiko wa vitu
hivi viwili husaidia sana katika kuongeza ufanisi kwa wale wenye tatizo
hili. Jinsi ya kuandaa, chukua mdalasini robo na changanya na asali nusu
lita kisha weka kwa siku tatu, baada ya siku tatu anza kunywa kwa
kutumia kikombe cha kahawa mara tatu kwa siku kwa muda wa wiki mbili
(kama utatumia mdalasini nusu basi changanya na asali lita moja)
No comments:
Post a Comment