|
utaipenda. |
vichekesho;
USIPITWE
% RAHA YA KUWA BABA %
1.hata kama maji ya shida lazima uoge
2.hata kama haujaacha pesa chakula utakikuta
3.hata kama hauna nguvu unakua na mamlaka kwa mkeo
4.kama ni nyama wewe unapewa nyingi watoto mojamoja
5.mda wowote ukitaka maji ya moto fasta
6.unaludi mda unao utaka hme
7. Tiririka na wewe kijana
No comments:
Post a Comment