Mjengengee hali yakukuamini katika penzi lenu
Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya
kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa
mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya
majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu
lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana
na hofu kutawala.
Katika hali ya kawaida kama mwanamke atashindwa
kufikishwa kileleni na ampendaye basi hukosa hamu ya kufanya tendo siku
nyingine anapohitajika kutoa penzi na hata akikubali kufanya basi
hufanya kwa kutimiza wajibu kwani huwa hajui utamu wa majambozi, na
mwanaume anayeshindwa kutotosheleza mpenzi wake kwa kumpa dozi
inayostaili hadi kusikia utamu usiosimulika huyo uwezo wake huwa ni
mdogo ambapo mimi huwa napenda kumuita jogoo.
Ndiyo je,
unashangaa nini ushawahi muona jogoo alivyofasta kumaliza haja zake za
mwili na kumuacha tetea akijiuliza anarudi tena ama ndiyo kaenda maana
tetea hubaki kachutama akizani jamaa atarudi kumbe ndiyo imetoka
babakeee!
Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo
kutawaliwa na usaliti kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni
mwanaume, mwanamke au ni wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya
kumfikisha kileleni mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo
wanawake wachache tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua
kujishughulisha kunako sita kwa sita yaani namaanisha wanaume wasio
wabinafsi kunako majambozi, tafadhali soma makala haya kwa umakini kisha
nenda kayafanyiye kazi haya nitaninayokueleza:-
HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA!
Kadri
mwanamke anavyojitahidi kuvuta hisia na kujishughulisha kwa namna moja
ama nyinyingine kuweza kuinua hamasa yake ya mapenzi ili kuhakikisha
anafika kileleni, ndivyo atakavyoweza kusikia raha ambayo humuwezesha
kufikia mshindo.
Amini usiamini hata wanawake ambao wao
wakishikwa kidogo tu kwenye kipengele G yaani g-spot na kupigwa katelelo
kwa dk 1 hufika kileleni pindi wanapokumbana na presha kutoka kwa
wapenzi wao basi hushindwa kufikiakwenye kilele cha raha hata kama
mwanaume huyo atadumu kwenye uwanja wa mapambano kwa dk 30!
Mwanamke
yoyote yule anapokumbana na presha zisizo na sababu toka kwa mwenza
wake dakika chache kabla ya majambozi au kwenye uwanja wa malavedave
basi hushindwa 'kupizi' kwani hata kama wazungu (bao) wakiwa wanakuja na
dume likaanza kumpandisha presha wazungu hurudi kwao!
Hali hii
haiwakumbi wanwake tu bali hata wanaume hushindwa kuwajibika vema
faragha pindi wanapokumbana na presha za hapa na pale toka kwa
wawapendao.
Hivyo basi wewe mwanaume ili uweze kumfikisha mwenza
wako kileleni unapaswa kuhakikisha unaacha kumuuliza unakuja? siju la
azizi unakaribia kukojoa? au mpenzi nakufanya vizuri? unajisikia raha?
nakukamua vizuri kuliko ....(unamtajia mpenzi wake wa zamani)?
Njia
mbadara ya kukabiliana na presha ni kutoelekeza fikra zako kwenye
kupiga mabao, fuarahia mchakato mzima wakufanya mapenzi bila shaka
unatambua kuwa mapenzi yanayolenga kufurahishana/kupena traha nyote
huhitaji kufuata process zote muhimu na hayataki mapenzi ya kuu yaani
yaani unamnyatia mpenzi wako na nadni ya dk 3 umeshamsaula na kumkamua
na gemu linaisha mwanamke wa watu hata hisia hazijamuamka kidume uko
pembeni unatweta yaani mipumzi ya mmmmh kibao, tumia muda wakutosha
kutomasana na katika kipindi hiki cha kuandaana ndipo unapohitaji
kuhakikisha unamaliza presha zote mlizonazo.
Hatua hii ya kwanza
ukiitekeleza basi unaweza ukabadilika katika mtazamo wako juu ya kufanya
mapenzi kwani wanaume wengi huwaza kukamua bao zaidi ya mojawakiamini
kuwa kwa kufanya hivyo wanamfikisha mwanamke kitu ambacho nsi kweli
kwani mwanamke unaweza ukamkojolea hata bao 7, lakini ukashindwa
kumfikisha hivyo kama utaweza kutoa wazo la bao ngapi leo namchapanazo
na kuondoa presha pindi mnapokuwa faragha, unaweza kushikwa na butwaa
kwa jinsi mtoto wa kike atakavyokuwa anakulalamikia kwa raha anayoipata
kitandani na kwa mara ya kwanza unaweza kusikia akikwambia nakuja
dear......usiniulize anakuja wapi kudadeki!
HATUA YA PILI:
SAHAU SUALA YA KUJIFUNZA MBINU MPYA YA KUMKAMUA UMPENDAYE
Najua
wengi wenu mnanishangaakwani mnaamini kuja na staili mpya kwenye uwanja
wa mapambano ndivyo unavyoonyesha uwezo wako wakumudu mambo furani
pindi unapokuwa faragha nataka nikuhakikishie kuwa kwa kuja na staili
mpya kila kukicha ni vigumu sana kumfikisha mwanamke kileleni kwani
yawezekana kabisa staili hiyo ikawa inamuumiza lakini anashindwa
kukwambia kwa kuwa tu anataka usimuone mshamba hayajui mapenzi hiyo
ataugulia kimya kimya bna kwa sababu hiyo basi mawazo yake yote huamia
kwenye jinsi gani atatoa ushirikiano wakutosha kwenye hiyo staili mpya
uliyompelekea hivyo basi ni vigumu amasa zake za mapenzi kuamka na
kujiskia raha ambayo wewe mwanaume mbinafsi uliyetoka kuangalia mkanda
wako wa ngono kama siyo kusimuliwa na wenzako kijiweni staili hiyo
uliyoingia nayo ulingoni siku ya shughuli utaipata.
Hapa naomba
niseme ukweli wanaume wengi wanapenda staili ya kubongolewa sizungumziii
ule mchezo machafu wa tigo naomba nieleweke kwana, mwanaume
akibongolewa na kulianzisha humchukua sekundwe kadhaa kupiga bao kwani
hujisikia raha isiyo kifani kuyaona matikiti maji (wowowo) likizungushwa
kwa madahaa huku nyonga ikienda kushoto kulia na ni balaa mwanamke
akiwa anajua kukitumia kiuno chake hapo mwanaume anaweza kushituka hata
hajakaa sawa wazungu hao! Ndiyo huu ndio ukweli lakini kwa bahati mbaya
wapo dada zangu fulani fulani wao wanaangalia wanenguaji wa akudo huko
wanavyochezesha nyonga zao kisha wanaenda kuwakatikia madume zao, hii
haikubaliki duniani kote kiuno kinachotakiwa kwenye majambozi ni kile
kinachogandishwa kiaina yaani kinapelekwa kushoto,chini, juu, kulia kama
vile anayekipeleka hataki vile, yap nimekumbuka ni kama vile viuno vya
mitego wanavyocheza wadada fulani kwenye taarabu yaani kama mwanaume
umekamilika basi ukamwona dada fulani anacheza taarabu kama umekaa
hutoinuka kudadadeki ujasili utautoa wapi wakati athumani kichwa wazi
udenda unakuwa ushaanza kumtoka!
Mwanaume unachopaswa kuhakikisha
ni kuwa unatumia staili ambayo itamuwezesha na mwenza wako kufika
kileleni kisha kuendelea na staili zingine kwani wanawake wengi hufika
mshindo mara moja tu na wachache hufika kileleni zaidi ya mara moja na
kumbuka wengi hufika kileleni kwa kuchezewa ipasavyo kipengele G yaani
sehemu zenye ahamasa ya mapenzi kwa mwanamke kuliko utamu wa kusimikwa
mzizi
HATUWA YA TATU
Mjengengee hali yakukuamini
katika penzi lenu, hakika mwanamke anapobaini kuwa unampenda na humtendi
ni rahisi sana kupata raha ya mapenzi pindi mnapokuwa kwenye majambozi
kwani mnapokuwa faragha hisia zake za mapenzi huwa juu sana si kwa kile
kinachoendelea kwenye mwili wake bali hupanda juu kwa kuwa yupo na mtu
anayempenda na kumthamini na anayejua nini maana ya kupenda hivyo kama
kweli unampenda mwanamke unayetaka kuanzisha naye uhusiano ama uliyenaye
katika uhusiano wa mapenzi hakikisha unaziba mianya yote ya yeye kuwa
na mashaka juu yako yaani mfanye amini kuwa unampenda na ni yeye pekee
aliyeiteka nafsi yako.
Mwanamke akiamini unampendahakika
utazifaidi zake zabibu na katu hatakusaliti kwani utakuwa unamtosheleza
kwa kila kitu yaani unampa mapenzi ya dhati ambayo wengi huitaji lakini
huishia mikononi mwa walaghai kadhaa ambao wanajua vema kucheza na lugha
na maneno matamu kuwapatia mabini za watu na wakishafunuliwa tu huanza
nyodo na pengine kuwasahau wapenzi wao yaani wao kuwasiliana nademu wake
kwa wiki mara moja ama wiki mbili mara moja tena mawasilainao yenyewe
yanaanza mambo vipi na baada ya dakika chache kidume unaulizia mchezo
sasa kwa staili hiyo usitegemee kabisa unapokuwa naye faragha
utamdatisha kiasi cha kumfikisha! Thubutu yako atakupa miguno ya
kinafiki na kukwambia nakuja kumbe hana lolote amechoka kuendelea kukupa
huduma hiyo na anaona unamkera tu kwa kuendelea kwako kuwa kifuani na
akiona unang'ang'ania basi bwana size atakupunguzia na kufanya msuguano
uwe mkubwa sana kiasi cha kukufanya uhimili kukaa kifuani kwa sekunde
kadhaa tu yaani wazungu anawaita kwa nguvu na wao bila hiyana wanakuja
na usiombe kama unacheza mechi hiyo bila jezi mziki bake utautambua!
Nimalize
kwa kusema kuwa jaribu leo, kesho na siku zote za maisha yako kufanya
haya nayokueleza umfikishe kileleni umpendaye kwani vinginevyo wenzio
watakusaidiakumuonyesha mpenzio raha za dunia kwa mambo matamu kumpatia
na kumfanya abaki akigugumia kwa mambo matamu aliyopatiwa na
kumng'angania aliyemjumpatia, usishanagye wapo hivi leo ambao wapo
kwenye ndoa zao lakini wanashindwa kuachana na maboyfriend zao kutokana
na kukereheshwa na kalaa za ndoa zao kwani waweza kukuta mwanamke
amevumilia kwa miaka 10 kumtunzia heshima mumewe lakini janaume likawa
linashinda baa wee na kungogewa kuanza kuwalamba wahudumu, sasa mke
akibaini na akikutana na walimu vipofu huyooooanaenda kumtafuta bwana
wake aliyekuwa anampatia kwenye mechi.
No comments:
Post a Comment