WANAWAKE WENYE SIKU ZA MWEZI ZISIZOKUWA ZA KAWAIDA.
INASEMEKANA KWAMBA WAPO AINA YA WANAWAKE WENYE MZUNGUKO WA SIKU 15 KATIKA MWEZI AMBAO SUALA LA KUPATA MIMBA KWAO LIMEKUWA GUMU SANA. HII INATOKANA NA SABABU KUWA HAWAWEZI KUJUA TAREHE AMBAZO YAI LINAPEVUKA NA KUWA TAYARI KURUTUBISHWA.
KWA KAWAIDA MWANAMKE ALIYE SAWA HUWA ANA OVARY 2 AMBAZO HUPOKEZANA KATIKA KUTOA MAYAI KWA MWEZI SASA KWA HUYU MWENYE MZUNGUKO WA SIKU 15 HUWA SIKU YA KWANZA YA HEDHI/ SIKU DAMU INAANZA KUTOKA NDIO SIKU YAI LINAKUWA LIMEPEVUKA TAYARI KWA KURUTUBISHWA. KWA HIVO YEYE HUWA ANAANZA KUBLEED WAKATI HUO HUO OVARY NYINGINE INATOA YAI LILILO TAYARI
SIKU ANAYOANZA KUBLEED NDIO SIKU AMBAYO ANBAKUWA TAYARI KUPATA MIMBA.
-WANAWAKE WA AINA HII HUWA HUTOKWA DAMU KIDOGO NA KWA MUDA MFUPI SIKU 1 AU 2.
-HUWA HAWAZIONI DALILI ZA KAWAIDA AMBAZO MWANAMKE HUZIONA WAKATI YAI LINAPEVUKA KAMA VILE KUONGEZEKA KWA JOTO LA MWILI AU KUTOKWA UTE UKENI. HII INATOKANA NA SABABU KUWA SIKU YAI LINAPOPEVUKA NDIO SIKU ANAANZA BLEED HIVO HATA AKITOA UTE UTATOKA NA DAMU YA BLEED.
MSAADA PEKEE KWA MWANAMKE HUYU NI KUKUTANA NA MWANAUME / KUFANYA MAPENZI SIKU YA KWANZA ANAYOANZA KUBLEED ILI APATE MIMBA. WENGI HUWA WANAANGUKIA KUTOZAA KABISA SABABU HUANZA KUTUMIA MADAWA AMBAYO HUZIBA KABISA MIRIJA YA MAYAI.
No comments:
Post a Comment